Locci
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 1,002
- 821
ila jamaa uwanja wenu ni mgumu sijawahi ona..yaani mpira unadunda hapa unaenda kutua kuleee..pasi ikipigwa inadunda dunda hatari tupu!!Hope unajionea long passes za Sharks
wachezaji wa tz wanacheza mechi ktk mazingira magumu sana dah!!