Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siyo vijisababu halafu unazunguka sana toa mifano inayokinzana sportpesa huwezi ukaitolea mfano na big brand kama samsung ......

we jua hiyo sportpesa haina mashiko huku tz na hamna fungu kubwa lakuweza kuzipa pesa tz club labda daraja la pili ndiyo maana tunayapuuza hayo mashindano huku tushamaliza ligi kwa sasa ni muda wa break kwa wachezaji kuwait next season .....hivyo chezeni na team b
Sasa kama Sportpesa wako na pesa za kupatia Hull City na Everton za England sasa za kupatia hizi vilabu zenu za uchwara ndo Itakosa? wewe uzalendo imekuziba ubongo haujabakisha akili ya kufikiria
 
New building coming to life View attachment 793893
41791706154_3d7f8e7559_b.jpg
 
haina shida...btw leo tulichezesha simba B. siku tukikutana na hao gor mahia tutachezesha full squad ya simba A.

halafu nimegundua kitu kuhusu vitimu vyenyu. wachezaji wenyu hawana maarifa ya kupiga penati.
Haha. Gor si mchezo. Inafaa tulutane na hiyo team a yenu
 
Sasa kama Sportpesa wako na pesa za kupatia Hull City na Everton za England sasa za kupatia hizi vilabu zenu za uchwara ndo Itakosa? wewe uzalendo imekuziba ubongo haujabakisha akili ya kufikiria
sportpesa haina uwezo wakulipa hizo club tajwa.......ni kivuli tu cha mda.......wacha tuwape nafasi ya upepo...

hawana fungu lakutosha ni busara tu zimetumika
 
So hizo sponsorship deals walisign na hizo vilabu za England zilikuwa za bure? Sportpesa is making inroads in europe and it won't be long before usikie another sponsorship deal with another top English side
 
Kenya is the English speaking country or not?
If yes are you a Kenyan or not?
If yes do you know the present tense of word "do" for first personal pronoun?
haaaaaa umekamata makende yake haswaa eti "you doesn't " "he don't"... hii sijui kiingereza ya wapi??.
 
So hizo sponsorship deals walisign na hizo vilabu za England zilikuwa za bure? Sportpesa is making inroads in europe and it won't be long before usikie another sponsorship deal with another top English side

Hawa jamaa hawana idea pesa zenye sportpesa hutengeneza. SportPesa huingizaa 800 million Ksh per week kutoka tu kwa jackpot bets. Hii ni ata bila cha kuhesabu other bets, jackpot pekee. The sponsorships with EPL teams hu run to billions of Kenya shillings. acha hawa vilaza waendelee kunung'unika
 
nafatilia hii game via azam app.
View attachment 793938
huu uwanja ni wa rugby siyo wa football ndiyomaana yanga Jana ilitolewa sababu walishindwa kucheza zile ground pass wanazopigaga pale uwanja wa Taifa huu uwanja ukipiga ground pass mpira unadundadunda alafu unakata Kona. wenyewe wameuzoea ndiyo maana wanatupa wakati mgumu tupelekeni kwenye viwanja vizur muone kama mtapata hata Sare hehe. hàpo huo uwanja wakijinga hata Barcelona muatawafunga
 
kwenda zako hapaa...
you doesn't (you don't)
he don't (he doesn't)
unataka kumuongopea nani??
Nani alikuwa akiongea nawe kijana wa mbagala? Nimemuuliza mwenzako maana ya 'first personal pronoun' aliyosema so ungefanya vizuri kama ungemsaidia badala ya kuingilia mambo yasiyokuhusu
 
Hawa jamaa hawana idea pesa zenye sportpesa hutengeneza. SportPesa huingizaa 800 million Ksh per week kutoka tu kwa jackpot bets. Hii ni ata bila cha kuhesabu other bets, jackpot pekee. The sponsorships with EPL teams hu run to billions of Kenya shillings. acha hawa vilaza waendelee kunung'unika
Kuna mmoja wao alikuwa akinyamba hapa eti sportpesa haina pesa za kuwawezesha kusponsor hizi vilabu zao za ujinga simba na yanga wakati hata sasa jezi wanatumia ineandikwa sportpesa!! Hawa watu ni vilaza kweli
 
sasa mbona hawaidaidii gor mahia kua na maendeleo:D:D:D:D team miaka 50 haina hata harufu ya ofisi
 
Nani alikuwa akiongea nawe kijana wa mbagala? Nimemuuliza mwenzako maana ya 'first personal pronoun' aliyosema so ungefanya vizuri kama ungemsaidia badala ya kuingilia mambo yasiyokuhusu
Nyinyi watanzania hamkosi vijisababu. Sasa mnasingizia uwanja kuwa ndo sababu ya kushindwa? Heheheh....this Is laughable yawa. Ile siku mkichapwa 4-0 na Mc Agier hapo Dar mlikuwa mkicheza kwa uwanja wa rugby pia ambayo mpira hudunda? Mbaazi ikikosa matunda......
 
mechi haukupigwa dar
 
So hizo sponsorship deals walisign na hizo vilabu za England zilikuwa za bure? Sportpesa is making inroads in europe and it won't be long before usikie another sponsorship deal with another top English side
nakwambiaje hapo hakkuna kitu......ni upepo tu......kusign siyo tatizo hata wewe kama unania unaweza ukanitafuta mimi tufanye bizness na nikakupa akili kubwa na ukaweza weka chata yako kwa jez pale mbele hata kwa madrid ama barcelona.....
 
Back
Top Bottom