Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiii pia university:D:D:D:D:D
ila wakenya munapenda jokes sana
View attachment 793038
Siku Tz Inafikia Kenya kwa Universities nitag View attachment 793615
07-524x350.jpg
 
Peleka muindi kazini kama kawaida kama Dawa kuwachapa ni kama vile tulichapa Yanga ama Taifa stars na Zanzibar stars combined.... nitag mkitushinda in anything.
Sawa Ichoboy. Nadhani wewe ni mwarabu fulani anayekula pesa ya baba yake. Usitegemee mali ya wazazi kijana. :D:D. Hata hivyo hongera, sikujua apple watch ina washikaji Tanzania.
haki nyinyi watu ni wajinga sijapata kuona. ichoboy anacheza na akili yenyu nanyi bila kujua mnajadili kile anachotaka yeye.
 
mimi ni shabiki kindakindaki wa simba sc, siishabikii simba kwa sababu ya uzalendo wa kitanzania bali naishabikia kwasababu ndio ndimu ninayoipenda tangu ningali mdogo.

so matokeo yoyote kuhusu simba ya kufungwa au kufunga, nitayapokea kwa mikono miwili.
Poa. Napenda unavyozungumza kama fan halisi... Tungoje matokeo
 
Back
Top Bottom