Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
15,059
2,000
Na zile kelele zote kumbe CT-Scan za Maumbile Hospital hazifanyi Kazi
Hitilafu hutokea plus uzembe wakufanyia maintenance, Usikute dokezo la kununua vifaa limetamiwa na mkurugenzi au halijaandikwa au kifungu hakipo...kama hujanielewa basi...mambo ya serikali hua slow slow sana
 

chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
6,737
2,000
Dongo Kundu international Airport ✈️🛬🤣

Screenshot_20220504-162841.png


1651247123454 .jpg


images (32).jpeg


images (34).jpeg
 

7seven

JF-Expert Member
Mar 27, 2022
677
1,000
Excuses at its best, sasa kama hamna madini unanililia mm ndiye niliyoiumba hyo failed state? GDP hata Nigeria imeizidi SA, hata nyie failed state mmeizidi North Korea, haya twende ground
Nigeria wako pia juu ya Ukraine462B na baadhi ya nchi za East Europe, kwa ground ni vitu viwili tofauti.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom