Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,039
- 2,000
Safi sana mkuu na mkunya akija dsm apige picha na yeye tufanye comparisson which country is better!Wakulungwa wa Kaskazini mara chache sana wanashare picha walizopiga wao wenyewe , au wote wengi hawatoki Nairobi? Hawapiti vitu vizuri njiani wakielekea kazini na kurudi na kupiga picha kushare hapa? Hawatoki kula bata wakapiga kutuonyesha pia? Au hawapendi kupiga picha.
Mi nikipita popote nikiona kitu chochote kinahusu hii battle natwanga Photo.
View attachment 2224169
View attachment 2224170
View attachment 2224171
View attachment 2224173
View attachment 2224174
View attachment 2224175
View attachment 2224176