Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simon

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
4,984
2,000
Unaona unafiki wa corona na chanjo zake?

Tanzania, waliochanja ni chini ya 0.006% hii asilimia ni statistically insignificant. Sasa ni nini kilichoifanya Tanzania leo kuwa "safe" ?

nimeelewa lengo la ujumbe wako na ninaunga mkono.. lkn hizo hesabu haziko sahihi
waliochanjwa wanakaribia 1m.. total estimated popu ni 60m

(1m/60m)*100=1.67%
 

Simon

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
4,984
2,000
Nilikadiria kuwa waliochanja ni chini ya 500,000, mara ya mwisho data nilizozipata zilikuwa chini ya 400,000

bado ulioweka ni ndogo.. 0.1% ya 60m ni 60,000

kwamba hata kama walichanja 60,000 .. percent yake ingekuwa 0.1%.. percent uliyoweka 0.006% maana yake wamechanjwa 3,600

(60,000/60,000,000)*100%=0.1%
(3,600/60,000,000)*100%=0.006%
 

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,609
2,000
bado ulioweka ni ndogo.. 0.1% ya 60m ni 60,000

kwamba kama walichanja 60,000 .. percent yake ni 0.1%.. wew umeweka 0.006

(60,000/60,000,000)*100%=0.1%
Du, kweli nina personal issues na hizi chanjo maana emotions zinazidi logic.

Ni hivi mwanzoni nilichukulia kadirio la watu 400,000 waliochanjwa kutokana na data za mwisho nilizozipata (sawa na 0.6% ya watanzania wote). Ila kama wameongezeka kufikia laki sita bado ni kiasi kidogo sana cha 1%, kama ulivyosema.
 

Wang Yi

Member
Jan 12, 2021
89
150
Mama kagundua magufuli hakuwa mbaya ila mtu usipokuwa kwenye kiti cha uraisi uwezi kujua nini kinasababisha kuwa vile alivyokuwa mkali sana kwa wafanyakazi wa serikali ,pia mama kajua legacy ya magufuli siyo ya kushupazia shingo inaweza kuvunjika
Chezea mzimu wa Magufuli wewe! Lazima chifu Hangaya akamilishe tu miradi yote iliyoasisiwa na Magufuli vinginevyo hatakuwa na amani na urais wake kamwe!
 

Lusematic

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
10,016
2,000
Update: Pan African Postal Union (PAPU) HQ |17F |
img_1406-jpg.2199509img_1407-jpg.2199510


Courtesy: @w1II3

View attachment 1974140

View attachment 1974141
wataalam wa ujenzi Tz wapo smart sana huwa wanazingatia,

ukienda kenya ni tofauti labda awe mjenzi mgeni
 

Lusematic

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
10,016
2,000
Muulize kwanza hicho alichopost ni kitu gani mana hapo panaonekana ni shambani, na structure amepost haielezi chochote since ipo empty kinachoonekana hapo ni trekta moja tu, uskute hata sio stendi ya Malory
hapo jamaa kapiga changa ,kaingia zake gooogle kaforce kusearch kitu ambacho kiuhalisia hawana kisha kaiona picha akadownload,
hiyo ndiyo nature ya mkenya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom