Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

coodip1

JF-Expert Member
May 5, 2016
1,057
2,000
Bado iko under construction.., yenyu haijaanza na mnapiga kelele.., in Tatu some sections are up and running., jomba bado mko chini yetu ukatae ukubali.., mko way below, mbona hilo liko wazi sana..,
Why are Kenyans infatuated with english names are they really still mentally colonised. Eti eastleigh, wastelands, those buses kwenye picha ya Tatu city eti Crawford.
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,686
2,000
Angalia jinsi Wakenya wanavoishi katika matabaka, angalia hiyo part ya Nairobi kuliyvo na concentration alafu angalia estates wanazopost humu ndani jinsi zinavochukua wakazi wachache...

Kama Tanzania tutacontrol makazi Holela Dodoma EST and Central Africa hakutakuwa na mji kama Dodoma

Kenya kuna chumba cha gorofa kodi yake ni laki moja ya Tanzania, imagine
View attachment 1945985 View attachment 1945987
angalia Dar kwa huo mtazamo ujionee mwenyewe., jiangalie kwanza kaka ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., mko ovyo, kubali, mjijenge musonge mbele., kiburi wacha
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,686
2,000
Why are Kenyans infatuated with english names are they really still mentally colonised. Eti eastleigh, wastelands, those buses kwenye picha ya Tatu city eti Crawford.
Pili pili usio ila inakuashia nini?.., bakini na Gongo la Mboto na Kijitonyama yenyu, ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ wachana na sisi tubaki na Westlands yetu, akina UpperHill, Parklands, Kilimani na kadhalika..,
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,686
2,000
Kenya is also ruled by same Kanu mafia in a different political party brand name of Jubiloot. A truly banana republic.
Sadly, Only the ruling class from Two tribes have been ruling the banana republic for at least 6 good decades.
Tanzania CCM tokea mwanzo wa Taifa, hadi sasa, matokeo: ufukara ulio tapakaa., jiangalie kwanza, North Korea of East Africa.
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,686
2,000
Kwa Mkenya makazi bora ni magorofa yaliyorundikwa sehemu moja.
Kwa mtanzania haya ni makazi bora., sio slums.., mnafinyana sako kwa bako, hakuna njia ya magari kati kati ya hizi nyumba zenu.., ni vichochoro.., mko na matatizo si haba.., tuwache kuchekana ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
1632130088972.jpeg

1632129996812.jpeg

1632130134388.png
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,359
2,000
...unafikiria Kenya ni taifa la mazuzu kama Tz serikali ipike data watu wakose kuiumbua ., unapata tabu., economic output inaonekana kwa sectors za uchumi., Tanzania ni fukara zaidi ya vile CCM inaitangaza., hilo liko wazi sana.., nenda kalilie kwa choo.., infact uchumi wa $65B should be having better revenue from most sectors than what Tanzania has now.., yaani hizo$65B ni estimation ama hypothesis, not a reality per'se.., mko ovyo zaidi kaka, wacha kujiliwaza.

What will you do then you poor kenyans zaidi ya kulialia huko twita?,
You are only good at making noise and your politicians are clever enough to ignore your noise,
Nyinyi hakuna kitu mnaweza wafanya wenye nchi yao ambao ni wazungu na familia ya Kenyatta na wanasiasa wakikuyu na wakalenjini . Majority mpo majalalani hamna hata pa kushika, mnakufa njaa huku wazungu wakimiliki maelfu ya ardhi yenu kiduchu inayolimika, wanalima maua na chai na mirungi na kuuza ulaya na marekani halafu nyie mafukara mnaokufa na tai shingoni mnasomewa data za exports za maua kisha mnakenua.
Have you ever asked why all your black rich people are politicians or political affiliates ?
Ubepari wenu ni wa kijinga ndio maana mna kundi kubwa la maskini wa kutupwa wasioweza hata kupata mlo mmoja.
What poor Kenyans can do is speaking English with typical Kenyan tribal accent and aggressively reproducing like rodents in your poor tiny desert. Huku bongo kamwe hamtakaribishwa hata kama tuna malaki ya ardhi iliyo idle .
IMG_2464.png
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,359
2,000
Tanzania CCM tokea mwanzo wa Taifa, hadi sasa, matokeo: ufukara ulio tapakaa., jiangalie kwanza, North Korea of East Africa.

Do you know at the moment of independence Kenya and Soutb Korea had the same economy

Hayo tuyaache, My point is even Kenya have been ruled by KANU since independence to date,
And what makes it worse is that you have been ruled by Gikuyu and Kalenjin for over 60 years,
Huku Tz if you have a dream to succeed in politics you can join ccm or whatever party, if you are exceptional utatoboa hata urais bila kujali background yako,
Contrary, You can never make it to president in Kenya if you donโ€™t have the below qualifications,

1. Gikuyu or Kalenjini

2. You are not a descendant of the Royal families as attached in picture
IMG_2465.jpg
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,686
2,000
What will you do then you poor kenyans zaidi ya kulialia huko twita?,
You are only good at making noise and your politicians are clever enough to ignore your noise,
Nyinyi hakuna kitu mnaweza wafanya wenye nchi yao ambao ni wazungu na familia ya Kenyatta na wanasiasa wakikuyu na wakalenjini . Majority mpo majalalani hamna hata pa kushika, mnakufa njaa huku wazungu wakimiliki maelfu ya ardhi yenu kiduchu inayolimika, wanalima maua na chai na mirungi na kuuza ulaya na marekani halafu nyie mafukara mnaokufa na tai shingoni mnasomewa data za exports za maua kisha mnakenua.
Have you ever asked why all your black rich people are politicians or political affiliates ?
Ubepari wenu ni wa kijinga ndio maana mna kundi kubwa la maskini wa kutupwa wasioweza hata kupata mlo mmoja.
What poor Kenyans can do is speaking English with typical Kenyan tribal accent and aggressively reproducing like rodents in your poor tiny desert. Huku bongo kamwe hamtakaribishwa hata kama tuna malaki ya ardhi iliyo idle . View attachment 1946018
Angalia ulivyo andika porojo, tena kwa maumivu sana ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ unaomba na kutamani ikue ni ukweli, lakini wapi! changa moto ziko kwa jamii fulani, very small percentage tena sana, na wale wanakumbwa na njaa wanakumbwa na njaa kwenye ardhi yao ilio sehemu kame, kama Turkana na North eastern na sehemu za ukambani na coast, yaani ni kwao nyumbani, najua hilo haujui., ama unajitia hamnazo., Kenya ni desert and semi arid 80%!.., na hizo sehemu zinamilikiwa na wakenya tokea mababu., wazungu walienda central, kwa wakikuyu.,
Unajua Laikipia kwanza ni wapi? huko ni kwa wakikuyu sana sana, kwa vile wana uhaba wa mashamba na ni wengi wanajituma sana na ndio maana wamefaulu kwa ukubwa sana kibiashara., so u think Laikipia ni Kenya yoote,,. unapata taabu sana., unatamani ikue ni ukweli wakenya hawana ardhi, eti nyumbani kwao ni slums.,haujui watu wameenda kujitafutia maisha mjini, mtu mwenye hali ya chini anaanzia kwa slums akijituma vizuri anaomoka anasonga mbele ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ na mtu akifa kule slums anarudishwa kwao mashambani na kuzikwa kwa shamba lao.., wakikuyu ndio wanazika watu wao kwa public cemetery kwa wingi., because hawako traditional sana., hauijui Kenya ni guesswork uko nayo na opinions unazo okota mitandanoni.., bado ukweli ni ule ule, licha ya Tanzania kubarikiwa na natural resources na big arable land, bado mko ovyo zaidi ya Kenya.., jiangalie, upeleleze mlikosea wapi ama ni wapi mnakosea kila mwaka hamsongi mbele.., nikujenga projects ambazo haziwezi kusaidia mifukara., ni matajiri tu wana benefit..,
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,686
2,000
Do you know at the moment of independence Kenya and Soutb Korea had the same economy

Hayo tuyaache, My point is even Kenya have been ruled by KANU since independence to date,
And what makes it worse is that you have been ruled by Gikuyu and Kalenjin for over 60 years,
Huku Tz if you have a dream to succeed in politics you can join ccm or whatever party, if you are exceptional utatoboa hata urais bila kujali background yako,
Contrary, You can never make it to president in Kenya if you donโ€™t have the below qualifications,

1. Gikuyu or Kalenjini

2. You are not a descendant of the Royal families as attached in picture
View attachment 1946028
Pia Uganda wanasema vile vile., na nchi mingi za Africa zinaimba hizi pambio eti wakati wa Uhuru walikua better than most asian economies., pia tanzania in the 80s ilkua zaidi ya Kenya.., hauna jipya, wacha kujiliwaza, mko ovyo ama ni laana imewateka nyinyi.,
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,863
2,000
Kwa mujibu wa Takwimu Tanzania ndio ina wakazi wengi zaidi mijini kuliko nchi zote za ukanda huu, (most urbanized Nation )
Tuna miji mingi sana mizuri hapa Tz yenye hadhi ya kuanzia manispaa na yenye wakazi wanaozidi 250k
Mfano

Arusha, 600k
Mwanza, 800k
Dodoma 450
Zanzibar stone town 500k
Moshi 300k
Tanga 400k
Iringa 300k
Morogoro 350k
Mbeya 700k
Zanzibar stone town 500k
Tabora
Mtwara
Bukoba
Songea
Lindi
Musoma
Kahama
Shinyanga
Singida
Swanga
Kigoma

You can see them in YouTube fyi.
Mwaka gani? Naona kama outdated stats!
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,863
2,000
242313310_5017951098220374_8121297050052867813_n.jpg

Dcq5vjVX4AAmK9GFKF face dilemma as Harambee Stars could play Mali away from home​

Dennis Mabuka
Last Updated17 Sep 2021
17 Sep 202114:07 UTC +02:00

The African body has given the local federation until the end of September 17 to submit a report on Nyayo after that of Kasarani was dismissed
Kenya could play their next 2022 World Cup qualifying home match against Mali outside the country, Goal can exclusively reveal.

This is after Caf wrote to the Football Kenya Federation confirming the team will not be allowed to use Kasarani Stadium because it does not meet the required standards.

In a letter from Caf sent to the federation titled โ€˜Last Requestโ€™ and obtained by Goal, the African body has now threatened to fix their next match against Mali at their opponents' venue.

What did Caf statement say?​

โ€˜As per your video report sent, in addition to the poor technical benches, the pitch of Moi International Sports Center Kasarani is not up to the required standard for a Fifa/Caf A match, therefore Caf cannot approve such venue for the Fifa Qualifiers [October window] based on the current status,โ€ read part of the statement seen by Goal.

โ€œCafโ€™s decision is based on the current status of the pitch as of today [Friday] and not based on improvements to be made. Kindly note that this decision is final.

โ€œYou are, therefore, requested to send a report of Nyayo Stadium [including photos and videos of the pitch] latest by today, Friday, September 17 by 1400hrs [Nairobi time].

โ€œIn case your federation fails to provide the report, Caf will immediately fix the venue of your upcoming home Fifa World Cup Qualifier match in your opponentsโ€™ venue.โ€

Efforts to reach FKF officials for a comment on the matter proved futile as our calls went unanswered.

Kenya are in Group E of the qualifiers and during their clash with Uganda, they used Nyayo Stadium in the match that ended 0-0 before they travelled to Kigali, where they also battled to a 1-1 draw against Rwanda.

The latest decision comes just two days after coach Jacob โ€˜Ghostโ€™ Mulee parted ways with the federation with his assistants Ken Odhiambo and William Muluya taking charge of the team on a temporary basis.

Kenya are currently lying second on two points from two matches while Mali are topping the group with four points from two matches and Uganda are third on two points. Rwanda are last with a single point.

komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
19,354
2,000
Ngonjera yote hiyo inahusika vipi na tako City kumilikiwa na Mzungu kwa 10k% na ninyi kufa njaa?

Tako City ni mali ya beberu kama ilivyo mashamba yote iyenye rutuba Kunyaland, usinililie
Uchumi wa tanzania ni wa wahindi bana
Kuanzia usafiri, makampuni nk..whindi for life
 
komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
19,354
2,000
Kwa mujibu wa Takwimu Tanzania ndio ina wakazi wengi zaidi mijini kuliko nchi zote za ukanda huu, (most urbanized Nation )
Tuna miji mingi sana mizuri hapa Tz yenye hadhi ya kuanzia manispaa na yenye wakazi wanaozidi 250k
Mfano

Arusha, 600k
Mwanza, 800k
Dodoma 450
Zanzibar stone town 500k
Moshi 300k
Tanga 400k
Iringa 300k
Morogoro 350k
Mbeya 700k
Zanzibar stone town 500k
Tabora
Mtwara
Bukoba
Songea
Lindi
Musoma
Kahama
Shinyanga
Singida
Swanga
Kigoma

You can see them in YouTube fyi.
Kwetu hyo miji yenu haina hadhi hyo mpka tuiite miji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom