Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
21,162
2,000
Hivi hizi data za Tz ndio kusema zinabaki hapo hapo daily au kuna uzembe unafanyika serikalini ktk ku update data? Mbn serikali yetu ya kizembe namna hii, Dar haiwezi kuwa na popn ya 5mil only, tangu nianze kusikia hii ya 5mil ni mwaka wa tano huu, mara ukute 7mil yn kuna tatizo mahali, cz kwenye takwimu kuna kauzembe fulani nchi hii, huenda huwa hawaa update data.

Kuanzia kms of paved roads, GDP, electricity connectivity mpk hapa kwenye popn.

Tatizo wizarani yamejaa mazee mpk kero hayajui kucheza na numbers, yenyewe yanakula mshahara na kusinzia tu.
 

Shebby01

JF-Expert Member
Nov 11, 2020
1,505
2,000
naipenda sana NAIROBI yangu,sisi wakenya tumeendelea sana kuliko nchi yeyote duniani,tunaishi maisha bora tuna pesa mingi venye tulivyo washap na hatutumii gari used zilizotumika miaka nane iliyopita pia kupakia magodoro,madumu juu ya bus zetu new model 2021 ni kawaida ni culture yetu yakisasa zaidi

in reality differ View attachment 1943290 View attachment 1943291 View attachment 1943292 View attachment 1943293 View attachment 1943295 View attachment 1943296 View attachment 1943297 View attachment 1943299 View attachment 1943300
Ebu achana na Sisi nini mbaya Tanzania hamuwezi ligi yetu🙄
holtermanronnaug-post-2018_11_24_12_57.jpg


holtermanronnaug-post-2018_11_24_12_57-4.jpg
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,499
2,000
Hujielewi Kwa sababu sasa hivi kila kitu kimepanda ,tozo zimeongezeka,mama anasafirisafiri so Acha ujinga wa kuposti hizi vitu Kwa Sababu Watanzania washamkumbuka magufuli
Wewe na nani mnamkumbuka Dhalimu Mzilankende? 😃😃..

Kusafiri na kupanda vitu kinahusianaje? Acha Rais akatuletee pesa, nilidhani unasema miradi imesimama kumbe ni porojo.
 

coodip1

JF-Expert Member
May 5, 2016
1,057
2,000
Jifunze hesabu, ile basic, before other factors that are put into consideration..,niulize when did Tz cross from $50sB to $60sB?..,
understand growth rate ya 6% or 7% on a 55B is too small in comparison na 2% ya $500B economy., ama 6% growth kwa economy ya $60B ni kidogo sana ukilinganisha na 6% kwa $85B.., the reason a bigger economy ina grow kwa gap kubwa ukilinganisha na small economy..,
Rwanda GDP ni 1$0B., uchumi unakua na between 7% na 10%., but hiyo 10% yao ukilinganisha na 5% ya Tanzania, hakuna kitu!..,
10% of $10B (Rwanda) = $1B
4% of $60B(Tanzania) = $2.4B..,
Explain why kenyan economy which was $78bn in 2019 at growth rate of 3% leaped to $97bn in 2020.
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,499
2,000
Explain why kenyan economy which was $78bn in 2019 at growth rate of 3% leaped to $97bn in 2020.
Uchumi wa Kenya ni mkubwa karibu mara 2 ya Tzn,na miaka ya 2015 plus uchumi wao umekua kwa wastani wa 5 plus ..

Imagine hadi mwaka huu growth rate yao iko juu ya Tzn,haikuwa hivi miaka 5 iliyopita.

Dhalimu mzilankende ndio aliharibu uchumi,miaka yake imekuwa useless, uchumi ulianguka akabakia kuleta propaganda kwamba mabeberu wanamuonea hadi kufukuza muwakilishi wao Tzn..
 

coodip1

JF-Expert Member
May 5, 2016
1,057
2,000
Mwaka wa kumi huu GDP ya Tz ni 60-65B ni usenge uliovuka mipaka na wenye kukera sana, Wakenya wote nadhani sasa watakuwa wanaelewa kwamba GDP ni usenge na ufirauni wa mzungu, tangu lini Tz ikapitwa na nchi za kisenge senge kama Ghana? Hapo kiuhalisia Tz inapitwa na nchi za kiarabu na SA basi hao wengine ni wasenge kama wasenge wengine.
Kuhusu GDP viongozi wetu walifanya mambo ya kisiasa kui suppress GDP ili wasiwe kwenye LMIC maana ingewalazimu kukopa kwenye masoko ya nje kwa riba ya juu na pili trade pacts tulizosaini na mataifa ya magharibi zingekufa na hivyo kutulazimu exports zetu ziwe taxed na kutufanya tu saini trade agreement kama ya EU. Kwa miaka takribani kumi Tz imekuwa ikiwachenga IMF kwa ku under report GDP data ili waendelee kupata preferential treatment lakini naona IMF walikomaa sana end of 2019 hadi ikapelekwa serikali kutoshare data na hivyo kupiga marufuku taasisi yoyote ku report data za Tz bila Government approval.
 

passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
1,043
2,000
Wewe na nani mnamkumbuka Dhalimu Mzilankende? ..

Kusafiri na kupanda vitu kinahusianaje? Acha Rais akatuletee pesa, nilidhani unasema miradi imesimama kumbe ni porojo.
Na wewe ni mtu mwingine ambaye hujielewi yaani huyo mama Hana la maana anqchokifanya Nani amekuambia hela inapatikana Kwa Rais kutembea tembea magufuli hela alizipata wapi.Kila kitu kimepanda yaani Watanzania wananyonywa wakati Enzi za magufuli alipata hela Kwa kukukusanya Kodi Kwa matajiri.Nenda kwenye mitandao utaona Watanzania wapo kwenye Hali gani ni wewe Tu na chuki zako za kishamba.
 

Justinr

JF-Expert Member
May 22, 2020
2,682
2,000
Mwaka wa kumi eti? kuchanganya ujinga na upumbavu ni mbaya nani .., so in 2011 Tz ilikua $60 Billion economy? ata kama ni upunguani hii yako sasa ni zaidi man useless
Sio kila kitu ni chakuleta ushabiki wakindezi ...niambie ni lini Tz ili grow at 0 rate? Kama akuna izo 6 to 4 % of GDP inaenda wapi?
 

Justinr

JF-Expert Member
May 22, 2020
2,682
2,000
Wewe na nani mnamkumbuka Dhalimu Mzilankende? ..

Kusafiri na kupanda vitu kinahusianaje? Acha Rais akatuletee pesa, nilidhani unasema miradi imesimama kumbe ni porojo.
Toa matk apa shenzi yani linchi limekuwa km uharo akuna kitu kinacho fanyika ...kila bidhaa iko juuu Tunaenda km vichaaa kwa hali hiii tukutane apo 2025
 

Justinr

JF-Expert Member
May 22, 2020
2,682
2,000
Uchumi wa Kenya ni mkubwa karibu mara 2 ya Tzn,na miaka ya 2015 plus uchumi wao umekua kwa wastani wa 5 plus ..

Imagine hadi mwaka huu growth rate yao iko juu ya Tzn,haikuwa hivi miaka 5 iliyopita.

Dhalimu mzilankende ndio aliharibu uchumi,miaka yake imekuwa useless, uchumi ulianguka akabakia kuleta propaganda kwamba mabeberu wanamuonea hadi kufukuza muwakilishi wao Tzn..
Ww ni mafiii ata uchumi hujui kichwa kubwa ndio kitu umebeba fukara hadi wa mawazo, tokea hii nchi iubwe ni kwa kipindi cha JPM tu GDP ulipanda sana ukilinganisha na vipindi vingine na ndio sababu pekee ya kugikia MIC... your lunatic as alway
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom