Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,214
2,000
Hatukushangai na chuki unazoongea ukiwa ni mtu wa ile kanda ukiwa mwanamke mzee, macho mekundu na mjane unazushiwa mchawi na kuuwawa! Nadhani mlijua mtatawala milele kumbe mipango ya Mungu ni mingine!
Subiri kidogo ,,,wewe tulia tuli,, vutapumzi taratibuuuu utaona very soon
 

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,359
2,000
Hatukushangai na chuki unazoongea ukiwa ni mtu wa ile kanda ukiwa mwanamke mzee, macho mekundu na mjane unazushiwa mchawi na kuuwawa! Nadhani mlijua mtatawala milele kumbe mipango ya Mungu ni mingine!

Suala sio ile kanda mzee. Suala ni kuwa Mama uwezo Mdogo, and deep inside you you know it. Amalizie awamu ya mwendazake asepe. Hata kwa kitaa mama haungwi mkono. I like her though but not for that big role.
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,863
2,000
JKIA Terminal III
D2F1BzZWsAEBiJp
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
43,863
2,000
Ndio ujue magufuli alikuwa raisi makini siyo mpumbaavu wa msoga ,maana hayo yanayo ipata kenya yalikuwa yatokee na tz
acha kuchanganya madesa mbuzi wewe! hiyo ni response ya GoK kukopa mabenki ya ndani kulipa mkopo wa Mchina wa SGR!
 

komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
19,351
2,000
Kunyaland hamtakaa muwe na usafiri kama wa Tanzania sababu hamna barabara kama hizi

Ninyi endeleeni kujenga barabara on paperwork and numbers lakini kwa ground hamtokaa muwe na roads standard like this

Youtong linakimbiaje kw vumbi bana
Tena main road mazee kabisa nalo linakatiza kw speed ya mwanga
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,499
2,000
Haaawapi labda awe ajitaki tumekubali upumbavu huu hadi 2025 tu labda aweze kubadilika ,la sivyo nchi tunaiweka kidogo chini ya jeshi
Sasa sina mda wa kujadiliana na wapumbavu kama wewe,yule kiazi wenu Aliyekuwa anajitaka yuko wapi? 😄😄..

Kwa hiyo wewe unabishana na Rais aliyesema atagombea au? Jitokeze wewe utie Nia uone moto..au unajifariji kwa sababu umekata tamaa? Safi Sana Hangaya kawazima kama taa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom