Battery low

Jewel

Senior Member
May 1, 2008
176
62
mlevi mmoja kila siku akirudi nyumbani anampiga mkewe bila sababu, kila siku anamwambia kesho nikirudi nikukute haupo na ubebe kila kitu chako unacho kipenda humu ndani, basi siku mbili zimepita anasema maneno hayo hayo, siku ya tatu amerudi amelewa hajitambui, mama akawaambia watoto wake hela ya chakula hiyo hapo mimi naondoka na baba yenu tatizo lolote muende kwa bibi, basi mke akambeba mumewe mpaka kwao(kwa upande wa mke) mumewe alipo zinduka akamuuliza "niko wapi hapa" mke akajibu: upo kwetu si uliniambia ni ondoke na kila ninachokipenda na hakuna kingine zaidi yako wewe.. ndio maana upo hapa.... kuanzia hapo na mume pombe akaacha na mapenzi yakarudi kwa familia yake.... (kuna watu tunapenda vibaya.....lol....)
 
Mweeeee!
 
mkuu madanzuri ila naomba niwajuze kiviingine mabinti wetu
kumekuwa na mchezo wa wanaume kuandika nyumba ndogo batterylow we ukiona inaita unajua bl so kuweni makaini sana sana na hili
kama amuaminiani usiandike jina la binadamu mwenzio kihisishi kwa kweli bora mueke majina ya kinafishi
 
hah hah hah...mkuu iyo kuna kuna jamaa yangu alichezewa.afu akashangaa,mbona iyo betr low ina vibrate afu ina maranyingi ivo?kumbe demu kamfanya mshkaji nyumba ndogo bana.
 
kwl betri low naona simu yangu ina anza kulia baada ya kuingia humu. Ngoja nikaichaj. Tobaaa! Kumbe umm hamna.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom