Kilbark
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 572
- 161
Jamaa anadai demu alimwambukiza ule ugonjwa wa kuwashawasha na kusikia maumivu wakati wa haja ndogo alipomwuliza demu akachomoa hapo jamaa akampa kichapo kikali. Je ingekuwa wewe mke wako anakuletea ugonjwa huo ungefanyaje ilhali unajua kuwa hujawahi kucheza raru?