Elections 2010 Batlida amejifungua?

kuna mdau humu jukwaani alisema mimba iyake imeharibika kutokana na mshtuko alioupata.
 
Sasa wakubwa tuwe wastaarabu kidogo, ni kweli tuna wasiwasi na PhD yake ktk uwezo wake wa kupambanua hoja, kujenga hoja na kutenda vilevile, lakini hili la kujifungua ni la kweli au blaa blaaaaaa tu!
 
Kuna habari wanasema hiyo mimba ya Lower hasa na wengine eti ya Rais Kiwete , sijui ipi ni ukweli
 
Back
Top Bottom