Batilda katuma barua kwa rais kutaka kuacha ubalozi na kuja kugombea ubunge Arusha

hiki chombo tafadhali kiheshimu wewe kama huna akili mfuate babako akuongezee,huwezi kuandika mambo ya kijinga wakati huu mtandao unaheshimika ivi kwa akili yako batilda iwapo ameshindwa hata kuaga arusha baada ya kubwagwa na Lema, unategemea atakuja kugombea tena huo ni upuuzi na ndoto za watu wasio na kazi kama wewe ,kajipange ama usubili siku ya wajinga.ebo,,,,,,,,,,,,,
 
Angeweza kufanya hivyo iwapo tu hukumu ya Lema ingejumuisha na kumstaafisha siasa Lema maisha yake yote na pia CHADEMA ikafutwa kabisa na msajiri wa vyama, ila kwa hali ilivyo sasa hawezi kuthubutu. Kwanza ukitaka kumtisha yule mama kwa sasa wewe sema tu Lema huyoo, anaweza kuvunja glass kama alikuwa anakunywa maji. CDM ni balaa sio kidogo
 
Back
Top Bottom