Batilda Burian awa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

ndo mpaka iwe ila tukiendelea kupost vitu ambavyo si confirmed patakuwa hapatoshi humu.....imagine na mimi nakuja na yangu..LIPUMBA KUTEULIWA KUWA KOCHA WA TIMU TAIFA YA MIGUU YA TANZANIA KUMRITHI POULSEN....bado siajconfirm

Jamani naomba mnisaidie... Hivi maana ya neno TETESI ni nini???
 
amuulize mwakipiseli huko mbeya alivyoipata fresh yake na siasa zake za maji taka kwa mwakyembe na mwandyosa
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

Mi namuona ni MPUUZI KWA KILA KITU, isipokuwa kwa wake za watu....., lipi amabalo amefanya ambalosi la kipuuzi...HAMNA yooooote upuuzi mtupu
 
JK Yuko Serious....! Yapo mambo mengi yanayokinzana na unachokisema...! Hakiki unachotaka watu waamini kwanza. Fikiria yafuatayo utaelewa:

  • Kitendo cha kuondolewa Samuel Sitta ktk kugombea uspika, JK alikuwa anaongoza jopo lenyewe.
  • Kukubali matokeo ya Urais na Ubunge kwa baadhi ya maeneo kuchakachuliwa na Tume, UWT na makada wa CCM, vyote vipo chini ya JK angeweza kukemea.
  • Kuweka viongozi wa kiserikali ambao sio wafanisi na kuyumbisha uchumi ni jukumu la JK, ila kila mahali panayumba!
  • Kukua kwa vinara wa ufisadi, wanaoishi bila woga ni kutokana na JK kutokuwa na kauli thabiti kwao.
  • Ndiye amemteua Celina Kombani kama waziri wa Sheria na Katiba - aliyesema hakua haja ya Katiba kurekebishwa, then week 3 baadaye waziri wake mkuu na Taifa zima wanasema kubadili Katiba ni jambo jema - lakini JK hajaona tatizo kwa mama Kombani na bado anaona atafaa kuwa waziri ktk wizara aliyopewa??
Je unaposema ypo serious sana - kwa kuteua wakuu wa mikoa, ikiwa ni pamoja na Burian kuwa ataharu au ku-sabotage maendeleo ya mkoa, unawezaje kulinda unachokithamini unapotafakari yaliyosemwa hapo juu??

Tafakari, uelewe...Hatuna Seriousness toka ndani ya CCM...! Tanzania tunahitaji viongozi wanaoona mbali, ambao kwa bahati mbaya hatunao tena ndani ya CCM! Tunasikitika...

Labda kwa sasa CHADEMA itoe dira ya Taifa, ndio tutaweza kuelekea kuliko sahihi...

Ok
 
Back
Top Bottom