Batilda Burian awa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

JK haangalii maendeleo anaangalia atawaridhishaje wapambe wake.
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

Achana na jk. Ili namba hakuna kati ya 0-9.
Kama alimpeleka Mwakipesile MBY ilihali akijua fika uhasama, chuki na mifarakano iliyokuwepo kati ya Kambi ya Mwakipesile na Prof. Mwandosya atashindwaje kurudia chaguo la namna ile ile Arusha?! Kwake kinachoangaliwa ni KUPOZA WASHKAJI
 
ndo natoka shamba....nafungua jf nakutana na hii habari.....imebidi nicheke.......

ngoja nioge kwanza...........then i will be back!!!!
 
Mwaka huu walioanguka ni wengi, kama huyu mama atapewa AR, Malecela atapewa mkoa gani.
 
Nafikiri hizi speculations zina msaada fulani. Baada ya divisive campaign sidhani kama JK ana haja ya kuwa na perpetual campaign kwa miaka mitano. Huu ni wakati wake muafaka wa kuwaunganisha watanzania kwa kuwateulia viongozi watakaofanya nao kazi kwa karibu kwa muda wa miaka mitano. JK anajua wazi kuwa CCM ilitumia udini kuwagawa watanzania hivyo asingependa hali hiyo iendelee kwa miaka mitano yeye kama rais wa nchi. Kitendo chochote cha kuwapelekea wana Arusha mtu waliyemkataa kwa kura kuwa mbunge wao na kuwalazimisha kuwa mkuu wao wa mkoa ni cha kuwadhalilisha wanaArusha na 2015 hasira zao zitakuwa maradufu dhidi ya CCM. Busara itumike katika kuunganisha wananchi huu si wakati wa ubabe, kwani wananchi wameelevuka sana.

Natumai uvumi huu hauna ukweli na haitatokea, ushindi wa chama hauletwi na mtu fulani au watu fulani bali ni uwezo wa serikali kutatua kero za wananchi kwa ufanisi na umahili mkubwa. CCM wasimpatie Godbless mtaji wa 2015 kuwa alishindwa kuwatimizia ahadi kutokana na mizengwe ya Batilda.
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi
JK UPI? KIKWETE AU MWALIMU, HUYAJUI YA MKUU WA MKOA MBEYA JOHN MWAKIPESILE, NA MWAKYEMBE' MWAKYEMBE ALIMSHINDA JOHN KURA ZA MAONI 2005 .UNAJUA BAADA yA UCHAGUZI MWAKIPESILE JOHN ALIPEWA UKUU WA MKOA MBEYA. KITUKO NI KWAMBA MWAKIPESILE ALIKUWA HAZIPANDI NA WABUNGE WOTE WA MKOA WA MBEYA KUANZIA MWANDOSYA, MWAKYUSA! NA BEN MPESYA WOTE WA CHAMA KIMOJA .SEMBUSE BURUANI NA LEMA WA VYAMA TOFAUTI . KWA KIFUPI NENO MAENDELEO KWA CCM NI HADITHI ZA KUSADIKIKA .
 
JK ni mtu wa VISASI na wala suala la MAENDELEO halipo kichwani kwake! Anaweza kumpeleka hapo hapo AR.
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

Ila haya kwa serikali yetu inawezekana. Unajua lengo la Mkwere kutaka agombee Arusha na pia kuna swali la kujiuliza ni kwa nini EL aling'ang'ania mwanamama ashinde na hata kutaka kumwaga mpunga kijana auze jimbo??

Lazima kulikuwa na uzia na jamaa walopuona wakasaka kupenyeza rupia. Na hii nia huenda bado ipo na usishangae akawa maana wahenga walisema "Where there is personal Interest, people can even killl" so kwanini asiwe bana
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

Hehe heheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We Junior member acha kuleta habari ambazo hujaconfirm. Huo ni uzushi na umbea

Kaka punguza munkali, angalia usije ingia kwenye mtego wa kupenda kuitwa H.C Dokta Mpongoli
Kama utapenda naweza kukupigia debe kuna chuo kipo Temeke wanaweza kukutunuku.
 
Batilda Burian - Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Mwakipesila - Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Nazir Karamagi - Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Laurent Masha - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Endeleza list .. ... ...
Hezekiah Chibulunje - Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
January Makamba - Mkuu wa Mkoa wa Tanga,,,
 
Baada ya kusoma habari ilibidi kutafuta ukweli;
source yangu ikaniambia bila kuthibitisha ya kuwa isdore shirima anastaafu,R.c wa arusha anatarijiwa kujulikana kesho.
DR BATILDA anapelekwa kuwa R.C mwanza.
Source:kada wa CCM ambaye alikuwa msamamizi wa uchaguzi katika moja ya vituo vya uchaguzi manispaa ya arusha.
 
Back
Top Bottom