Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.