Elections 2010 Batilda bado ajipanga kulinyakua jimbo la Arusha

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.
 
source?.....na hiyo tofauti ya kura ilitokeaje? mbona uongo unazidi jamani....khaaaa
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.
Marando yupo stand-by...hawataweza!
Mambo ya kitoto hayo..
Washaurini wasitafute aibu!
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.

Kwa nini hakwenda tangia jana. Fisadi halafu analeta longolongo.. AMEshindwa kihalali..
 
Wazee nawathibitishieni kuwa Lowasa jana alitinga na fuko la fedha tayari kumnunua Lema lakini ilishindikana, sasa mlango ulibaki ni huo na chanzo cha habari ni mtu wa karibu na Lowasa ambaye naye kama keshapeta nafasi ya ubunge kwa jimbo fulani hivi.
 
Usimfiche mjomba, weka mambo hazarani...kwani nini bana!
Kwa muda huu hakuna maana kumfichaficha mtu!
 
Wakati mwingine ni muhimu kulinda vyanzo mkuu kwa sababu fulani fulani lakini elewa hivyo, jana jamaa walitinga na 500ml kwa ajili ya kuhonga sasa iliposhindikana zinapelekwa mahakamani zikafanye kazi!!!!!!!
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi mgombea wa CHADEMA Godbless Lema. Hivyo hali bado bado ni tete kwani baada ya jufanya fitna za kila aina na kushindwa sasa ushindi wao wanaamini upo mahakani ambako huko kila aina ya fitna itafanywa ili kuhakikikshwa ushindi huu wa jimbo muhimu unapokwa.
Habari ndiyo hiyo, vuteni subira mtasikia.

amekula ya mbuzi ameota mapembe, atajuta,
 
Ukweli ni kuwa Dr. Batilda hana sababu ya kwenda kujidhalilisha mahakamani kwa sababu hana misingi ya kulalamikia chaguzi hiyo maana kila atakalolifanya la kuchakachua matokeo ya ridhaa ya wana-Arusha itamsumbua zaidi kisiasa huko tuendako.......Mkakati wake ni kujipanga upya kwa mwaka 2015 na wakati huo EL atakuwa amekwisha tupiwa virago vyake ndani ya CCM.............................................

Tatizo la mahakama ni kuwa hata wakitengua uchaguzi hawana uwezo wa kumpa ubunge ila watarudisha kwa wapigakura haohao waliomkataa na hivi sasa anaelewa fika kuwa hawamtaki hata chembe sasa hizo purukshani za nini?
 
Hakuona nini kilitokea baada ya Lema kutangazwa mshindi?????????????? atakuja kumwongoza nani kama wanaarusha wamemkataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kwa nini lowasa asimshauri asubiri ili ampeleke jimbo la monduli 2015
 
Kwa nini asiende kugombea kwao Somalia? Kwa nini hawa raia wa kigeni wanatuletea tabu sana hapa Tanzania hawana kwao?
 
I'm very pleased kuona yule mwanamke kashindwa, kwanza hajui kuvaa, anavaa hovyo hovyo hata kwenye mikutano ya Kimataifa, aende zake kule hatutaki mambo ya kizamani miaka hii, KWISHNEI KIFO CHA MENDE !!!!!!!!!!
 
Kwa nini asiende kugombea kwao Somalia? Kwa nini hawa raia wa kigeni wanatuletea tabu sana hapa Tanzania hawana kwao?

Kwani huyu Batilda Burian ni mzaliwa wa nchi gani????Ina maana ana uhusiano na mkurugenzi wa Kampeni za CCM Bwana Kinana???
Hebu tupasheni vizuri hapo?
 
na wasiwasi na PhD ya huyu mama, na kama angeshinda ningeshangaa mashangao wa ajabu! Yaani hakuna la maana kwake kama kiongozi zaidi kujua kusema muongozo wa spika, she is good at saying these words. Bora aende kwa mume wake Zanzibar labda anaweza kumpa kazi but for Tanzania mainland She is no more byeee byeeeee Balt.
 
Back
Top Bottom