Elections 2010 Batilda akubali defeat

STREET SMART

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
807
622
naangalia tv mlimani: ripota wao anasema batilda amekubali kusaini kushindwa, lema atatangazwa soon.
 
Siamini hadi nisikie kuwa kaweka sahihi.

Mafeki yamekuwa mengi kama mitihani ya form 4 Tanzania.
 
pAMELIPUKA, lEMA kASHINDA!!!!!!!!!!
jamii forums imekuwa fake forums, yaani nimesikitika kuona kitu kama hiki kinachezewa na wehu kwa maslahi ya ushabiki wa siasa, very dissapointed. huwezi kuamini tena kinachopostiwa hapa
 
What are the motherfu.....n International Obsever are doing
 
Wejamani siye wa mbali na nyumbani ndo mmetukanganya kabisa. Inabidi tukae kwa utulivu tusome habari zikitulia maana kila dk laja jipya likipingana na jingine.....
 
Nimesikia kuwa Nguli wa Mondoli is in A Town....Na so far najua issue iliyomleta ni hy ya kuangukia PUA kwa BURIANI...the guy isn't an easy going...TRUST me kama kasign then watafungua kesi Kiakama na Buriani atashinda hiyo Kesi....Jamaa ni Smart sana katika plan zake za kutunyonya......
 
Kweli matokeo ya Arusha mjini,Nyamagana na Ilemela bado hzo habari zinatoka wapi?jamani tuwe tunapeana habari za uhakika maana hata mimi nimesikia kuwa Halima Mdee kapigwa Kawe ila nasubiri taarifa za ukweli nijue mana kwa jinsi ccm ilivyotufanya makongo juu sina hamu
 
Amebana weeeee usiku kucha hatimaye Kaach..............................! Hata mimi nikisikia imetangazwa ndipo nitakapoamini!
 
jamii forums imekuwa fake forums, yaani nimesikitika kuona kitu kama hiki kinachezewa na wehu kwa maslahi ya ushabiki wa siasa, very dissapointed. huwezi kuamini tena kinachopostiwa hapa

wacha upuuzi. Unawezaje kudhibiti haya mafuriko?
 
Back
Top Bottom