Batilda akubali defeat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Batilda akubali defeat

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by STREET SMART, Nov 1, 2010.

 1. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 668
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  naangalia tv mlimani: ripota wao anasema batilda amekubali kusaini kushindwa, lema atatangazwa soon.
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Siamini hadi nisikie kuwa kaweka sahihi.

  Mafeki yamekuwa mengi kama mitihani ya form 4 Tanzania.
   
 3. K

  King kingo JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli mkuu maana kila mtu anakuja na lake humu duh...
   
 4. c

  chanai JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imetulia. Bado tunataka matokeo ya Ubungo, Kawe, Maswa n.k
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  kabisa adi nisikie mwenyewe apa
   
 6. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  pAMELIPUKA, lEMA kASHINDA!!!!!!!!!!
   
 7. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umeona wapi? Leta habari za uhakika. Tumeshajichokea na hizi tetesi.
   
 8. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  jamii forums imekuwa fake forums, yaani nimesikitika kuona kitu kama hiki kinachezewa na wehu kwa maslahi ya ushabiki wa siasa, very dissapointed. huwezi kuamini tena kinachopostiwa hapa
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  What are the motherfu.....n International Obsever are doing
   
 10. c

  cmmbaga New Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wejamani siye wa mbali na nyumbani ndo mmetukanganya kabisa. Inabidi tukae kwa utulivu tusome habari zikitulia maana kila dk laja jipya likipingana na jingine.....
   
 11. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 668
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
   
 12. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimesikia kuwa Nguli wa Mondoli is in A Town....Na so far najua issue iliyomleta ni hy ya kuangukia PUA kwa BURIANI...the guy isn't an easy going...TRUST me kama kasign then watafungua kesi Kiakama na Buriani atashinda hiyo Kesi....Jamaa ni Smart sana katika plan zake za kutunyonya......
   
 13. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Naangalia star tv this very moment. Matokeo hayajatangazwa.
  let's be patient.
   
 14. M

  Mndamba Namba 1 Senior Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli matokeo ya Arusha mjini,Nyamagana na Ilemela bado hzo habari zinatoka wapi?jamani tuwe tunapeana habari za uhakika maana hata mimi nimesikia kuwa Halima Mdee kapigwa Kawe ila nasubiri taarifa za ukweli nijue mana kwa jinsi ccm ilivyotufanya makongo juu sina hamu
   
 15. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amebana weeeee usiku kucha hatimaye Kaach..............................! Hata mimi nikisikia imetangazwa ndipo nitakapoamini!
   
 16. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,802
  Likes Received: 6,312
  Trophy Points: 280

  NYUMBU alipost HIVI - PAMELIPUKA, lEMA kASHINDA!!!!!!!!!!

  Hii ni nini!? Let us be serious for once...
   
 17. T

  Taso JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Uhakika haupatikani kwa saini ya aliyeshindwa, bali tangazo la msimamizi wa uchaguzi akiwakilishi NEC.
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  wacha upuuzi. Unawezaje kudhibiti haya mafuriko?
   
Loading...