Elections 2010 Batilda Aibuka toka ICU hadi Mahakamani...

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!

Kwaheri Batilda............:israel:
 
Ngoja tusubiri Hoja zake , tuone, lakini kwa hadhi yake anajitengenezea Ombwe na lakuangua na kupotea kabisa,
 
Asiye kubali kushindwaaaaaaaaaaaaaaa........................................
 
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!

Kwaheri Batilda............:israel:
Mbona mmekazania sana mahakamani kwani hapajui msindikizeni kama mnataka.
 
Sio mbaya ajaribu tu kufungua hayo mashtaka labda atashinda kesi, hatuwezi kujua labda anajua atashinda. Maskini mama nasikia ana ka mimba kachanga akae akeleee kazaliwe vizuri tu jamani aache kuhangaika.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tuliomba Mungu amejibu.
 
Huyu mama anahitaji mshauri wa kisaikolojia vinginevyo uhai wake upo mashakani kwani hakujua kama kwenye shindano kuna kushinda na kushindwa.
 
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!

Kwaheri Batilda............:israel:

Nitakuwa tayari kushiriki katika Timu ya Mawakili kupambana naye. Akifungua ajue naye atafunguliwa kesi ya kujibu mapigo (Counter-Claim). Na hapo ndipo atajua tofauti ya sheria na siasa. Aanze sisi tutamalizia.
 
Apotelee mbali, kwanza hako kamama kana udini sana. simpendi kuliko sijui nini sijui. wana arusha msikubali.
 
nitaafurahi siku JK nae akiungana nae kwenda kudai kadhulumiwa kura za urais, wakati wao wako busy mahakamani si tutakua tunasafisha nchi, kwanza ile deadline line alotoa rais ya 31.10.2010 mafisadi wawe wamerudisha chetu ishapita. . . tuna hasira!
 
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!

Kwaheri Batilda............:israel:
Yeah hawa waliolewa uluwa wa madaraka ndio kawaida yao kila wakishindwa.Hii ni people revolution so hata akienda mahakamani bado haisadiii.aluta Continua:peace:
 
Huyu mama nadhani anajidhalilisha tuu..atulie labda JK atamuonea huruma na kumpa kiti cha upendeleo kama kawaida yake. Ingekua ni ushindi wa kubahatisha hapo kweli angesogea mahakamani...ila kapigwa kipigo cha mbwa mwizi..kama ni mchezo wa ngumi basi hapo katolea round ya tatu, kweli kuna kujitetea?? Sisi Chadema ndiyo tunatakiwa kuhoji matokeo kama ya Sumbawanga Mjini, Tarime n.k ambayo wamechakachua...vinginevyo huyu mama akae atulie bado binti mdogo, ajaribu tena wakati mwingine kwa sasa ppl's power has no mercy with any cripples
 
Nitakuwa tayari kushiriki katika Timu ya Mawakili kupambana naye. Akifungua ajue naye atafunguliwa kesi ya kujibu mapigo (Counter-Claim). Na hapo ndipo atajua tofauti ya sheria na siasa. Aanze sisi tutamalizia.

Kaka hii reaction yako inaonyesha una wasiwasi kuwa Batilda na suffucient basis za kufanikiwa endapo atafunguwa kesi.Lakini pia kwa msomi kama wewe kuanza kutoa misemo yenye kuashiria kumuingilia raia kutumia haki yake ya kimsingi inaonyesha upungufu mkubwa upande wako. Chonde huu ushabiki wa siasa usikuondelee heshima yako katika fani kaka...
 
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!

Kwaheri Batilda............:israel:

Kwani ameibiwa si ameshindwa kihalali wananchi hawakumtaka ndio maana ameshindwa asianze kutafuta mchawi
 
Back
Top Bottom