Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
Nafuatilia zaidi.
 
Yuko chali nini mkuu? Asaini fasta Doctor mzima anaogopa? Si akatafute kazi zingine huyu mama vipi?
 
Hao si ndo walikuwa wa kwanza kusema wapinzani wakubali matokeo sasa vipi tena kwao?
Lazima walinywe, maana washalikoroga
 
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
Nafuatilia zaidi.
Life's challenges are not supposed to paralyze you, they're supposed to help you discover who you are !SIGN TU MAMA
 
Yuko chali nini mkuu? Asaini fasta Doctor mzima anaogopa? Si akatafute kazi zingine huyu mama vipi?
Si unajua mkuu udocta wao ni wa kubahatisha, yawezekana hahitajiki kwingine maana kama ni potential asingehangaika
kama Dr. JK ni PhD ya nini, akafanye kazi kani tena
 
Dr Mzima hajui kuwa kuna kushinda na kushindwa?
Mama kuwa mpole sign tuu kama bosi wako JK atakavyosign kesho/kutwa
 
Wananchi wamezungumza, yeye hana la kusema wala hana la kufanya. Kama umezoea kushinda unaweza kudhani kuingia kwenye uchaguzi si kushindana bali kushinda. Safari hii na milele daima, watanzania wameamua kuwa wao watakuwa ndio waamuzi wa nani awe kiongozi au mwakilishi wao. Batilda, saini tu hiyo fomu mama!!
 
Yuko chali nini mkuu? Asaini fasta Doctor mzima anaogopa? Si akatafute kazi zingine huyu mama vipi?

True kama ni dr. wa kweli anaweza kwenda choo kikuu cha dar es salaam kuchakachua kura za maoni na dr. bana
 
Natamani ningekuwa kainzi huko aliko mkwere na wapambe wake ili nisikie yanayojiri katika mazungumzo yao.:peace::peace::peace:
 
Jamani huyu mama atajifungulia ofisini kwa mkurugenzi. Nawashauri wapambe wake wamshauri akubali matokeo. Kata 9 kwa CHADEMA 4 kwaTLP anataka nini tena? Wimbi hili la mageuzi ni kubwa mno wajameeni. Watu wamefanya kampeni na ze comdedy kisha wanatarajia ushindi. God forbid!
 
Ha ha ha mbavu sina mzalendo wa watu. Hivi hawa ssm si walisema tujiandae kukubali matoke, sasa iweje bidada agome kusaini. Haku a rafu yoyote sasa anagoma nini. Ushindi wa tsunami Arusha mjini sasa anaogopa au? Hivi hata mwenendo wa kampeni zake si alijua fika kuwa atahsindwa? Hebu awahi kwa daktari kupima mapigo yake na kiumbe chake asisumbue watu huyo.
 
Hallow inaonyesha huyu mama alionga sana ndo maana aamini kama kapigwa chini asaini bwana asitake watu waanza vita. Hatutaki kumwaga damu
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom