PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,723
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
Nafuatilia zaidi.
Nafuatilia zaidi.