Bati zinauzwa, usafiri bure ndani ya Dar es Salaam

em nipe elim.geji gan nzuri mana naskia tu 28,30.31.je geji ya mda mref ipi nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Gage inasaidia kwenye kupunguza kelele za bati pale inaponyesha mvua kubwa gage 32 inakelele sana kadri unavopanda juu kwa gage nyingine kelele zinapungua ikitoka 32 inafata 30, 28 na gage 26 nzito zaidi

Pia gage inasaidia kwenye uhimara wa paa mtu anapokanyaga juu bati haijikunji kwa haraka na kupoteza muonekano wake kwa bati nyepesi ukiikanyaga ni rahisi kupondeka endapo mtu anatembea juu ya paa

Pia gage za bati ndizo zinazomfanya fundi atumie mbao ndogo au nyingi kulingana na wepesi wa bati ili mtu anapopanda juu asije kushuka na bati chini kwa wepesi wake inasaidia kuhokoa wingi wa mbao na wingi wa misumari pia

Kingine inasaidia kwenye utobokaji wa bati endapo bati imeshika kutu na ni nyepesi inawahi kutoboka kwa haraka tofauti na bati zito inachelewa kutoboka pale inaposhika kutu

Gage 32 nyepesi zaidi gage 30 nyepesi gage 28 ngumu gage 26 ngumu zaidi
Kipato chako ndio kitakachokufanga pia uchague gage gani yakununua karibu sana

Izo ndio faida za gage kwenye bati

0765369158 kwa mawasiliano na huduma
IMG_20201115_121034_034.jpg
 
Screpa hizo zinauzwa kila moja 60,000 unaweza zichana kati kati ukatumia kwa matumizi unayohitaji ww ni nzito zimetengenezwa kwa chuma
Kwa anaehitaji zipo 0765369158
IMG_20201208_091437.jpg
 
Migongo midogo, zile nyeupe(bila rangi) zinapatikana za kupima kwa urefu? Mfano nataka mita 9.5.

Na je kama zipo bei yake ni sh ngapi jwa mita, geji 28?

Nauliza kwa kuwa fundi alisema kwa nyumba hidden roof, ni bora kupata bati za moja kwa moja na sio kukata au kuunga. urio emmanuel 92
 
Migongo midogo, zile nyeupe(bila rangi) zinapatikana za kupima kwa urefu? Mfano nataka mita 9.5.

Na je kama zipo bei yake ni sh ngapi jwa mita, geji 28?

Nauliza kwa kuwa fundi alisema kwa nyumba hidden roof, ni bora kupata bati za moja kwa moja na sio kukata au kuunga. urio emmanuel 92
Hapana mkuu izo zipo standard tu mita 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom