Bati gani nzuri za Msouth?

Wengine watakudanganya. Bati za uhakika ni ALAF na gharama yake siyo kubwa Kama watu wanavyodhani. Unaweza kukuta tofauti ni laki tatu au mbili. Sasa nyumba ya kudumu ijengwe na mabati yatakayopauka kwa sababu ya laki tatu?
 
Back
Top Bottom