Bata Mzinga

1975

Senior Member
Jul 9, 2009
131
18
Naomba kujua ni wapi naweza kupata bata mzinga wa kununua,Nahitaji bata Mzinga 6 moja dume na tano majike.Pia naomba kujua bei yake.
 
mbona hapa Dar wapo wengi tu fanya mawasiliano nami nikupe wa kwangu dume halafu nitakuelekeza kwa kupata hao majike kwani siwezi kukaa na madume wawili wanagombana sana
 
Bei walizokupa jamaa hapo juu ni sahihi kabisa,kwa nyongeza,ukiweza nenda pale Sinza mara baada ya kupita Kamanyola ukitokea Shekilango upande wa kushoto,kuna jamaa anauza kuku/kanga na bata Mzinga (kama amehama siku za karibuni sijui),unaweza kuwapata.

Kama ni kwa kufuga,basi jitahidi mkuu,bei yake sokoni hasa wakati wa Noel ni nzuri sana.
 
Hata mimi pia ninao bata mzinga na bata bukini nauza bei nzuri tu namba yangu ni 0757-662401
 
Ninao bata mzinga nabata bukini nauza bei rahisi sana namba yangu ni0757662401
 
Bro. Kitomari nimewapata kanga na bata mzinga muda huu hapa ubungo. Shukrani
 

Attachments

  • 1378592328367.jpg
    1378592328367.jpg
    60.1 KB · Views: 99
  • 1378592354285.jpg
    1378592354285.jpg
    64.7 KB · Views: 102

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom