wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Hiyo video akiwa porini akifundishwa namna ya kutumia silaha kawekewa na target kabisa jinsi ya kulengaKumbe alipitia na mafunzo kabisa!?
Hiyo video akiwa porini akifundishwa namna ya kutumia silaha kawekewa na target kabisa jinsi ya kulengaKumbe alipitia na mafunzo kabisa!?
BabaDesi bado haisaidii hata kama ningeweka mwanzoni mwa mada katikati na mwishoniMshana, ungefanya pia jambo jema mwishoni kwa kuweka tahadhari pia kua: anayeona kuwa post haimfai na haamini katika haya basi apite salama na asijisumbue hata ku-comment!!
Kila kitu unakitazama Kwa jicho la ushirikina ile gari iliangukia juu ya paa la nyumba ukadai ni ushirikina badilika bro sio kila kitu uchawi mawazo kama yako yanarudisha nyuma hata jitihada za kujikwamua kwny umaskini.
CC: BabaDesiKwa mawazo yako ya kishirikana sitoshangaa nikisikia umeua mtu ili uzindike mali zako.Mwanga mkubwa wewe.
Lakini mkuu hapo hatuwezi kuiondoa pombe kama chanzoNapingana nawe kwenye ubaya wa pombe...pombe sio mbaya kama mtumiaji anajitambua.. Kuna watu wamenenewa vibaya na pombe hao haiwafai. Kuna malimbukeni kuna waigaji kuna wataka sifa ... Wote hao haiwafai
Mkuu Mshana Jr silaha si ni object inakuwa vipi na bahati?Basi yangu ilikuwa na bahati.. Nilinunua mtumba South na nikakaa nayo miaka mitatu bila kujeruhi mtu.. Niliuza nilipokuwa narudi bongo
Yeah object ni yabisi.. Yabisi kiroho zinabeba bahati na laana piaMkuu Mshana Jr silaha si ni object inakuwa vipi na bahati?
Sasa nayeye alijiuaIla itabidi police wajaribu kuchunguza kiundani sana hili tukio,yule msela kafanya kitu kisicho cha kawaida kabisa
Dah.... Sasa inakuwaje ProfesaMimi mwenyewe nanunua hahayo
Kumbe alipitia na mafunzo kabisa!?
Alikuwepo jamaa alionesha kitambulisho,huyo angekuwa kwetu Risasi ya kwanza ya pili angepigwa kama Kuku.Ifike mahali waTanzania tujifunze.
Kweli mnamuona mtu anaonyesha silaha hadharani na ni eneo la watu wanywaji. Mnakaa kimya badlands ya kuita vyombo vya usalama kumhoji na kuondoa taharuki has roho za watu zipotee. Mbaya kabisa!!
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
mechi za mchangani tu hizi nimestaafu