Basil Mramba in graft probe

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
802
Basil Mramba in graft probe

-Focus on corruption allegations linked to five-year stint as finance minister

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
FORMER senior cabinet minister Basil Mramba is under investigation over corruption allegations dating back to his days as finance minister in the third phase government of ex-president Benjamin Mkapa, it has been confirmed.

Well-placed government sources told THISDAY that an official investigation of the 68-year-old Rombo Member of Parliament has already reached a ''very advanced stage.''

It is understood that a formal probe by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has focused specifically on corruption allegations against Mramba linked to his five-year tenure as finance minister in the Mkapa administration from 2000 to 2005.

Before being appointed finance minister, Mramba served as minister for industries and trade under Mkapa from 1995 to 2000.

From 2006, he served as minister for infrastructure development in the new fourth phase government of President Jakaya Kikwete, and later reappointed minister in charge of industry, trade and marketing, before eventually being dropped during the dissolution and re-composition of the cabinet last February.

According to our sources, however, the PCCB investigation is particularly targeting corruption allegations against the veteran politician during his stint as finance minister in the third phase government.

While the PCCB Director General, Edward Hoseah, was yesterday not immediately available for comment, our sources described the allegations against Mramba as ''quite serious.''

Mramba headed the finance ministry during the entire second and final term of the Mkapa presidency - a period already heavily clouded by allegations of high-level corruption and dubious government dealings.

Some of the allegations that dogged the establishment during this period include the dubious contract with Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation; the external payment arrears (EPA) account scandal, and the 70bn/- military radar deal.

''There are questions about how he (Mramba) granted certain tax exemptions when he was finance minister, as well as his apparent involvement in other things,'' said a source familiar with the investigation, without elaborating.

The finance ministry is also believed to have been at the heart of various other dubious deals including the 500bn/- Bank of Tanzania (BoT) Twin Towers project, the purchase of the presidential jet, and controversial guarantees given by the central bank in favour of certain private companies.

Several companies, including Meremeta Gold, TANGOLD and Deep Green Finance, are also known to have received billions of shillings from the BoT under dubious circumstances during the period heading towards the end of the third phase government's tenure.

Among other things, Mramba in person has also been linked to the controversial 15-year extension of the Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) contract, personally ordered by then-still-president Mkapa in late 2005.

Investigations by THISDAY have already established that a significant number of dubious official payments amounting to hundreds of billions of shillings were made during the final few months and even weeks of the third phase government under Mkapa.

And according to one well-placed source: ''These payments may not necessarily have been diverted to finance the 2005 general elections, as widely believed.''

''It now appears that a huge chunk of these particular monies was actually deposited in private bank accounts controlled by some top government officials?ostensibly to guarantee them a comfortable retirement,'' said the source.
 
Mramba The Only Man Who Has Managed To Mramba The First Mama ANNE MKAPA WACHA BEN MAKAPI KAMA KNA MTU MWINGINE EBU TUAMBIENI SAMAHANI KWA HII DE TOUR, KUCHEPUKA KIDOGO.
 
Mramba The Only Man Who Has Managed To Mramba The First Mama ANNE MKAPA WACHA BEN MAKAPI KAMA KNA MTU MWINGINE EBU TUAMBIENI SAMAHANI KWA HII DE TOUR, KUCHEPUKA KIDOGO.

Hii tabia ya kuchunguza uhusiano na kuupondea ni mbaya sana, si umbea tu ni udaku. Mnaanza hivi kidogo mwishowe itakuwa Anna ni malaya. Je wewe umeshakuwa na wanawake wangapi katika kipindi ulichojaaliwa kuishi? tuambie kwanza ya kwako.
 
Mra!! Mra!! Mrambaaaaaa!! Shemeji upo??? Kicheche kingine mi nilidhani wa-tz wamekisahau kumbe walikiweka kiporo tu??? sasa ngoma inogile haka kazee si ndio kalisema si tule majani lakini lazima ndege inunuliwe???

Mi nadhani mungu lazima atampiga kofi la usoni na uchafu wake wote utawekwa hadharani then tumfanyie kweli..Kajizi sana haka eti kana CV ya ufisadi ya hatari mwanawane...Ngoja tusubiri.. Tunasubiri kwa hamu sana hiyo maneno.
 
Tanzania corruption food web has ascended now to Mzee wa Nyasi (HERBVORES)aka pesambili.Where's that crooked speech now?The battle is at your door.Who can bring him to see what will be after him few days?

So far still remembering" Omnivores",the great one "Wivu wa kijinga huo",the full stomach of your richness from Kiwira will never let you asleep,as long as the carnivores from richmond is striving to kill more after the most known scavengers at Rada deal,EPA and Ticts shortly vanished.
 
Mie nashangaa hii serikali ya JK. Unamchunguza mtu kama Mramba wakati mwenzake Mgonja bado anakalia sofa pale hazina. Sasa huyo Mgonja hawezi kuharibu vielelezo ambavyo vinaweza kutumika kama ushahidi?? Maana Mgonja naye ni fisadi, na yote hayo yote ya EPA, Twin Tower na matakataka mengine yametokea under his watch. JK alitaadharishwa na JF pamoja na wananchi wengine juu ya Mzee wa VIJISENTI (CHENGE) lakini masikio yake yalikuwa na NTA. Matokeo yake yakawa ni aibu kwake. Sasa tusubiri ya MGONJA maana JK anajifanya kwa mara nyingine masikio yake kuwa na NTA.
 
Tunashukuru Kuambiwa Kuwa Pccb Wanamfanyia Kazi Huyu Mtumishi Mramba; Is Fine But Watuambie Baada Ya Uchunguzi Wao Maana Magazeti Yetu Yamedumu Kwa 3yrs Now Vyanzo Vyetu X7x7x7 Is Too Much . Hawa Jamaa Wa This Day Hawajatuonyesha Umakini Wao Ktk Hili Sakata Au Chanzo Ni Hapa Kwetu Jf? Mwandishi Makini Na Gazeti Makini Hawawezi Kutupatia Habari Za Kukurupuka Kila Kukicha! Isomeni Hiyo Story Vizuri Na Muwaulize Hawa Jamaa Hili Wanaloripoti Ni Jipya ? Na Kwanini Watudanganye Kuwa Mramba Alikuwa Waziri Wa Viwanda 1995-00? Wameshasahau Kuwa Kipindi Hicho Alikuwa Rc Mbeya Na M/kiti Wa Bodi Wa Ndege Yetu Ya Swala?????
 
Mie nashangaa hii serikali ya JK. Unamchunguza mtu kama Mramba wakati mwenzake Mgonja bado anakalia sofa pale hazina. Sasa huyo Mgonja hawezi kuharibu vielelezo ambavyo vinaweza kutumika kama ushahidi?? Maana Mgonja naye ni fisadi, na yote hayo yote ya EPA, Twin Tower na matakataka mengine yametokea under his watch. JK alitaadharishwa na JF pamoja na wananchi wengine juu ya Mzee wa VIJISENTI (CHENGE) lakini masikio yake yalikuwa na NTA. Matokeo yake yakawa ni aibu kwake. Sasa tusubiri ya MGONJA maana JK anajifanya kwa mara nyingine masikio yake kuwa na NTA.

They are just spining the weel as usual hamna cha maana, nani anamchunguza mramba, mna uhakika hiyo taasisi inayomchunguza ni safi kiasi cha kufanya kazi hiyo? Its the usual spining kuwadanganya wadanganyika ili waendelee kuwepo madarakani na kufisadi zaidi.
 
Kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe.Saa imefika.Awamu ya 4 inaendelea na shughuli za kuisafisha nchi.
 
Mramba The Only Man Who Has Managed To Mramba The First Mama ANNE MKAPA WACHA BEN MAKAPI KAMA KNA MTU MWINGINE EBU TUAMBIENI SAMAHANI KWA HII DE TOUR, KUCHEPUKA KIDOGO.

hahahaha nasikia mzee mzima BEN eti haifunction kabisaaa hana mambo kabisa ndo maana jamaa akawa anamchapia.
Eti ni kweli jamaa BEN ana mtoto kweli??kwani nasikia ndugu wa mamaa wanadai hana chake hata wa kusingiziwa sasa inabidi wapimwe DNA tujue tu jamani!!!
 
Wote waliokuwa karibu na fisadi Mkapa wanahusika kwa namna moja au nyingine kwa ufisadi. Kuna mabalozi wawili mmoja aliteuliwa siku chache kabla ya fisadi Mkapa kumaliza muda wake. Mmoja yuko Sweden na mwingine US ambaye inasemekana alihamishiwa huko ili 'akasimamie biashara za fisadi Mkapa' US kwa ombi alilofanya fisadi kwa Muungwana. Pia inasemekana huyo ndiye aliyemuuguza alipokuwa kalazwa Switzerland. Hawa wawili nao ingekuwa vizuri nao wakachunguzwa maana sia ajabu wanajua mengi kuhusiana na ufisadi alioufanya fisadi Mkapa.
 
It is understood that a formal probe by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has focused specifically on corruption allegations against Mramba linked to his five-year tenure as finance minister in the Mkapa administration from 2000 to 2005.

Before being appointed finance minister, Mramba served as minister for industries and trade under Mkapa from 1995 to 2000. From 2006, he served as minister for infrastructure development in the new fourth phase government of President Jakaya Kikwete, and later reappointed minister in charge of industry, trade and marketing, before eventually being dropped during the dissolution and re-composition of the cabinet last February.

Wakuu,

mbona huyu mwandishi nae mpotoshaji? Mramba hakuwa waziri wa viwanda na biashara 1995-2000.Alikua amekosa ubunge huko Rombo ambo ulikwenda kwa Mhe.Justine Salakana wa CHADEMA.Huyu alipoboronga ndipo warombo wakamchagua huyu mfisadi.

1995-2000 alikua mkuu wa mkoa wa Mbeya aliozawdiwa na Mkapa.

Ni vizuri kama mkapa anchunguzwa maanke huyu ndio mtu wa karibu mno na Mkapa na mkewe.Good move!
 
Sorry,i mean Mramba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom