Basil Lema - Moto unaoiunguza CCM Moshi

Dec 5, 2009
65
23
Ninamjua Mwalimu Basil Lema ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Mhe. Philemon Ndesamburo.

Huyu bwana anaisumbua CCM kwa mipango ya aina mbali mbali majimbo yote ya mkoa wa Kilimanjaro. He is smart in planning things. Lakini anashukiwa kuwa na mkono serikalini. Anybody with information about this person?
 
sasa simamam basi walau dakika mbili tukusaidie, sasa utasikiaje na mbio zote hizo?.................. aah, watu wengine bana!!!!!!!!!!!!!...............
 
Back
Top Bottom