Basil Lema, Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro apewe msaada wa haraka sana muda huu

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,831
1,048
IMG_3669.jpg

Ameandika Basil Lema katika Facebook

Basil Lema, Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro apewe msaada wa haraka sana muda huu.

"Wapendwa ndugu na marafiki naomba mniombee sana. Niko katika hatari ninamhitaji sana Mungu aniokoa mikononi mwa shetani. Nikipotea ghafla ongezeni maombi".

Ee Mungu kwa Jina la mwanao mpendwa Yesu Kristo niokoe mikononi mwa watesi wangu.

Wapendwa msinipigie simu zangu zote kwa siku ya leo. Ninyi endeleeni kuomba sana. Nikinusurika nitarudi hewani kwa mawasiliano kupitia simu zangu.

Kama nikimalizwa kwa maelekezo yoyote basi msikome kuendeleza mapambano ya kuleta ukombozi kwa watanzania wanyonge.

I dedicated all my life and worth for the true redemption of this nation. Please brethren do not stop this holistic struggle for the betterment of all people of Tanzania.

If I go, let my blood nourish the tree which will bear the fruits of freedom
I love you!
View attachment 582487
 
Wakuu nimesoma katika kurasa moja ya fb naona hi habar imetumwa dakika 22 zilizopita ukweli n mgen katika huu ukirasa ila habar yake ina uzito kidogo najua jf ni jungu kuu kuna watu wapo vizur katika maswala ya siasa naomba tujuzune kuhusu ili swala lina uzito wowoge au ukweli wowote ni ndio zilezile stori za kusadikika
 
Huyu jamaa ni nani, mwana harakati, mwanasiasa, mfanya biashara au mwanamichezo?

Nimaarufu kwa kitu gani kwenye mitandao ya kijamii na michango yake imeegemea wapi?
Tuanzie hapo kwanza, wengine hatumfaham
 
Mtu anatukana viongozi na serikali akitaitiwa analialia eti anajiita mkombozi wa taifa hili... kweli?
 
Mh wakuu wa chadema tuambizane mapema maana sasa kun vugu vugu la chaguz ndani ya chama na pia serikali yetu wenyewe twaijua yasije yakafika saa nane haya mambo maana ya beni mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basil Lema, Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro apewe msaada wa haraka sana muda huu.

"Wapendwa ndugu na marafiki naomba mniombee sana. Niko katika hatari ninamhitaji sana Mungu aniokoa mikononi mwa shetani. Nikipotea ghafla ongezeni maombi".

Ee Mungu kwa Jina la mwanao mpendwa Yesu Kristo niokoe mikononi mwa watesi wangu.

Wapendwa msinipigie simu zangu zote kwa siku ya leo. Ninyi endeleeni kuomba sana. Nikinusurika nitarudi hewani kwa mawasiliano kupitia simu zangu.

Kama nikimalizwa kwa maelekezo yoyote basi msikome kuendeleza mapambano ya kuleta ukombozi kwa watanzania wanyonge.

I dedicated all my life and worth for the true redemption of this nation. Please brethren do not stop this holistic struggle for the betterment of all people of Tanzania.

If I go, let my blood nourish the tree which will bear the fruits of freedom
I love you!
FB_IMG_1504680577638.jpg
 
What the hell is going on. Ametekwa,ni mgonjwa au nini kimemsibu sasa?
 
Basil Lema, Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro apewe msaada wa haraka sana muda huu.

"Wapendwa ndugu na marafiki naomba mniombee sana. Niko katika hatari ninamhitaji sana Mungu aniokoa mikononi mwa shetani. Nikipotea ghafla ongezeni maombi".

Ee Mungu kwa Jina la mwanao mpendwa Yesu Kristo niokoe mikononi mwa watesi wangu.

Wapendwa msinipigie simu zangu zote kwa siku ya leo. Ninyi endeleeni kuomba sana. Nikinusurika nitarudi hewani kwa mawasiliano kupitia simu zangu.

Kama nikimalizwa kwa maelekezo yoyote basi msikome kuendeleza mapambano ya kuleta ukombozi kwa watanzania wanyonge.

I dedicated all my life and worth for the true redemption of this nation. Please brethren do not stop this holistic struggle for the betterment of all people of Tanzania.

If I go, let my blood nourish the tree which will bear the fruits of freedom
I love you!
View attachment 582487
Anatafutwa na Kagame huyu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom