Basi lenye jina la KAKOLE TRANS lililopata ajali Korogwe

Cunch

Senior Member
Apr 19, 2014
162
142
Basi hili linalofanya safari zake kati ya Dar na Arusha lilipata ajali siku ya jumapili tar 1 maeneo ya Korogwe na kuua watu 11 lakini wahusika wakaficha taarifa.
1462374429119.jpg
 
Ulimwengu huu wa utandawazi, watawezaje kuficha?
kilichofanyika ni kulitoa mapema gari.majeruji waliokuwa hospitali ya korogwe walisema kuwa hata madaktari na manesi hawakulifatilia sana zaidi ya kuwahudumia na kuwaruhusu..mmoja kati ya majeruhi ni ndugu yangu aliruhusiwa jana.
 
Si muda mrefu hajaweza kuleta jipya? Nadhani sasa ataleta manne kabisa. Kafara buwanaa Ahhhhhh
 
kilichofanyika ni kulitoa mapema gari.majeruji waliokuwa hospitali ya korogwe walisema kuwa hata madaktari na manesi hawakulifatilia sana zaidi ya kuwahudumia na kuwaruhusu..mmoja kati ya majeruhi ni ndugu yangu aliruhusiwa jana.
Pole sana.

Hapo sasa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom