wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
Basi hilo la kutoka tanga Dodoma limebaki kituo cha mafuta Morogoro yapata lisaa limoja mpaka sasa likitafuta abiria wa kujazia na trafiki yupo alilalamikie na abiria akajificha je tutafika kwa hali hii.