Basi la Taqwa toka Dar kwenda Bujumbura limeungua moto

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Basi la Taqwa kutoka Dar kuelekea Bujumbura-Burundi limeshika moto. Chanzo ni kwamba tyre zimechemka badaae zikaanza kutoa cheche na gari kushika moto.

Limeungua likiwa eneo linaloitwa Mkanyagari-Ngara, abilia wameokolewa na raia wema kwa kushirikiana na polisi waliowai kufika eneo la tukio.

Chanzo: radio kwizera fm
 
Mmmm, Hili Gari Si Ndo Mwishoni Mwa Mwaka Jana Lili Anguka. Kulikuwa Na Wanafunzi Wa UDSM Walokuwa Wanaenda Rwanda. Kadhaa Walikufa Na Wengine Kunusurika. Kuna Kitu Hapa..........
 
Back
Top Bottom