Basi la shabiy latumbukia korongo la mto ruaha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Basi la shabiby limenusurika kutumbikia mto ruaha baada ya kupata tyre bust huko morogoro
kwa habari zaidi
nunua nipashe kesho

majeruhi wachache wako hospital
 
Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia.
Nielewe lipi?
 
Back
Top Bottom