Basi la SHABIBU lapata ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la SHABIBU lapata ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Mar 11, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Basi la Shabibu la lifanyalo safari zake kati ya DODOMA na DAR limepata ajali likishindana na lori kuna maeruhi na inasemekana kuna at least watu 2 wamekufa. more news to come. Mungu aepushe vifo zaidi na poleni walioumia
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  habari hizi za ajali
  zimeshanichosha,
  bora waanze kufungwa hao madereva..
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Kila wakati ajali ajali ajali....Inasikitisha sana...R.I.P wale wote waliokufa katika ajali hii,na wale majeruhi tuwaombee wapone haraka
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  inasikitisha sana kusikia hizi news hasa ukiangalia jinsi barabara ya Dar-Dom ilivyo relatively safe!!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nasikia kuna makusudi fulani yanafanyika
  kutokana na imani za kishirikina,
  wanatoa watu kafara,
  but i hope i am wrong.
  but hizo tetesi zipo saana.
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ajali imetokea mbele kidogo tu ya CHALINZE na majeruhi wamekimbizwa ospital ya TUMBI. Tayari vyombo vya habari vimefika hapa eneo la tukio. Sababu ni mwendo kasi wa dereva wa basi la SHABIBU.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu hizi kafara zipo sana aisee kwa hawa transporters
   
 8. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Je mabasi yetu yana viwango vinavyokubalika kusafirisha abiria? Hivi kila ajali tatizo ni mwendo kasi wa dereva?
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hizi ajali sasa ni za kila siku jamani?? Kama sababu ni mwendo kasi vipi kuhusu zile speed governors ambazo recently nimesikia mabasi yaendayo mikoani na magari ya mizigo zimewekewa??? Tutaishi kweli tuone wajukuu??? Ndo maana umri wa kuishi Mtz unazidi kushuka siku hadi siku it will reach a time tutaambiwa life expectancy ni 30.
  RIP to all those who died.

  Authorities you better do smething quick before it gets worse. Ishakuwa trend sasa every week or two weeks ajali somewhere.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hata kama hayana viwango
  lakini ni viwango hivyo hivyo
  vinavyotumika africa nzima.
  iweje sisi ndo tuwe
  na ajali kila siku?
   
 11. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Halafu vipi kuhusu viwango vya haya mabasi,je yanastahili(yanakidhi sifa za) kubeba abiria?,maana inasemekana mabasi haya huundwa kwa kutumia chasis za malori(kwamba yananunuliwa malori inachukuliwa chasis na kuvalishwa bodi ya basi from Body buliding companies kama Quality group n.k)...Kuna kipindi Polisi,TBS na SUMATRA walianza kulifuatilia hili ikiwa ni pamoja na kuyakamata mabasi yote yenye chasis za malori(FUSO,SCANIA,ISUZU n.k),waliishia wapi??

  Kuna haja ya zoezi hili kuendelea maana ukiangalia karibu asilimia 95 ya mabasi ya abiria Tanzania hayakidhi viwango vya kubeba abiria,ni majeneza/makaburi yanayotembea
   
 12. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu Boss,

  Nilikuwa nataka kutizama kwa mtazamo mpana zaidi. Naamini kabisa kuwa mwendo kasi ni moja ya sababu ya hizi ajali. Lakini nafikiri kuna zaidi ya mwendo kasi. Mfano, je madereva wote ni competent? Haya magari ni mazima kweli? Maana hata tairi mbovu tu inaweza kuwa sababu ya ajali. Sijui kama kuna uchunguzi wa kina huwa unafanyika kila ajali inapotokea kutafuta sababu ya ajali. Si ajabu kukuta baadhi ya hizi ajali, mwendo kasi ni secondary cause.
   
 13. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,814
  Likes Received: 20,787
  Trophy Points: 280
  labda niongezee..insurance scam(write off ur car,unalipwa jipya)
   
 14. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,814
  Likes Received: 20,787
  Trophy Points: 280

  je tunahitaji speed governor??
   
 15. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,814
  Likes Received: 20,787
  Trophy Points: 280
  ajali zetu zinasababishwa na hayo yote,sio speeding tu,ni collection of things which can be prevented
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mwenyezi Mungu awatie nguvu ndugu wa marehemu na kuwaponya majeruhi wote wa ajali hiyo...
   
 17. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,721
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa kwenye basi la Abood. Tumefika sehemu ya ajali, na kukuta juhudi za kuwanasua majeruhi zinaendelea. Ni ajali mbaya sana. Basi limejiingiza kwenye bodi ya lori. Dereva amekwepa upande wake na kuacha upande ule mwingine uingie kwenye lori karibu nusu. Inaonekana ni miscalculated overtake.
   
 18. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hakuna cha kafara wala nini, tusimsingizie shetani kwenye kila kitu, kikubwa kinacho changia hizi ajali za mara kwa mara ni uzembe wa madereva kutokana na umri ,uzoefu, maadili mabovu ya kazi, na kutojua sheria na kingine kikubwa ni presha toka kwa abiria wanao taka kufika haraka, hilo ndio tatizo kubwa linalo changia ajali. Ukiongea na asilimia kuwba ya wasariri wanao safiri sana utasikai wana sema wanapenda basi fulani sababu lina fika Arusha muda fulani ambao ni mapema,.
   
 19. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Really we are tired of this chorus
  'OVER SPEED AND CARELESS DRIVING' then what's next?
  Poleni saana wahanga wa ajali.
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sad................
   
Loading...