figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,484
Basi la Mbazi laanguka.
Ajali mbaya sana imetokea Chekiley Korogwe, watu wamefariki hapo hapo pamoja na yule wa baiskeli, pia wengine wamejeruhiwa
Basi la Mbazi lilikuwa likitoka Dar kwenda Arusha. Dereva wa Basi alikuwaakimkwepa mtu wa baiskeli ndipo akajikuta kwenye ajali mbaya sana.
Mungu awafariji familiya iliyopatwa na pigo hilo.