Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

kwamaeneo ilipo tokea ajali ni sehemu ambayo nimbaya sana kuna vijishimo vingi barabarani kama unakuwa mwendo mkali nilahisi kutokea chocho
 
Huu ndio utawala wa Kikwete Toka aingie madarakani ni ajali kama zinazotokea ulaya sasa zimehamia Tanzania.
Jamani Mwenyezi Mungu tunusuru na hali hii.
 
Aisee hawa madereva wana maliza watu hakika
 

Attachments

  • 1426064912504.jpg
    1426064912504.jpg
    108.4 KB · Views: 1,188
  • 1426065052953.jpg
    1426065052953.jpg
    50.6 KB · Views: 1,596
Kuna thread humu watu walikuwa wanasifia mabasi yanayokimbia Sana,hili halikuwemo kwenye top ten??! Bado mnaweza kuendelea kusifia hao wendawazimu wanaoitwa madereva?! Rip marehemu wrote.

ajali imetokana na ubovu wa barabara, basi kama halikimbii silipandi ng'o!
 
hivi hili basi la majinja ndo kusema kafara au?!!! maana tar. 4 mwezi huu limenyonga mtu mbeya mjini, wiki iliyo pita lilitaka kumuua mwendesha bodaboda ktk kijiji cha mabadaga wilaya ya mbarali, leo tena changalawe, serikali fungieni hili basi
 
Jamani hizi Majinja walitaka watuue tukiwa na newforce hapo mpakani mwa njombe na mbeya, ilibidi tusimame mbele abiria waanze kumchapa dereva na konda wa majinja ilikuwa January mwaka huu. Yaani sina ham na majinja magari yao maskrepa lakini wanapenda ligi barabarani. Yaan wakishawapita kondakta anazomea.
 
Zifanyie Kazi Hizo Tetesi Zako Kisha Urudi Tena Humu Na Habari Kamili. Critical Thinkers Huwa Hatuamini Sana Ktk Tetesi Kwani UMBEA Tu.

Habari ni ya kweli,nina ndugu yangu yupo kwenye eneo la tukio.Na ni kweli yawezekana wamekufa abiria wote waliokuwemo.
 
Back
Top Bottom