Basi la Islam (T 733 BMB) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Islam (T 733 BMB)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marejesho, Oct 16, 2011.

 1. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie wamiliki kama mko huku JF mnayafanyiaga magari yenu service?

  Leo usafiri wa kutoka Arusha kwenda Morogoro ulikuwa wa shida sana! Magari kama Hood, Abood, BM yalikuwa yamejaa, abiria ambao tunatakiwa kuwa Moro either kwa kazi au wanafunzi wanaotakiwa kureport vyuoni kesho ilibidi tupande Islam ambalo ndilo peke yake yake lilikuwa na nafasi!safari ilianza saa moja juu ya alama toka A town kwa mwendo wa kama 60km/ph!

  Hii speed tumeenda nayo hata baada ya kupita Moshi! Hili gari abiria wanaojua magari wanasema linatembelea gear namba 1!! Tumeshasimama mara tatu njiani, driver na konda wake wanashuka kimyakimya wanachukua maspana yao bila kutuambia abiria chochote, wanatengeneza then safari inaendelea! Basi limetoka Arusha saa 1, muda huu saa 11 kamili ndio tunapita Wami!! Moro sijui ndio tutafika kesho?

  Ushauri wangu, magari yafanyiwe service na wanaohusika na ukaguzi wa magari wakague ipasavyo! Driver akiona gari ni bovu, asilazimishwe na mmiliki kuliendesha kwani mara nyingi ajali zikitokea unasikia dereva anatafutwa na polisi na sio Mmiliki!!

  Mwisho,mtuombee tufike salama!!!
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Poleni. Mtafika 2 kwa mpango wake Muumba
   
 3. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  ungepanda hood ya mbeya saa sita uko msamvu unakula mchemsho wako wa kuku wa kienyeji...,
   
 4. G

  Gavanor Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungepanda abood yasingekukuta hayo.
   
 5. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani amesema mengine yalikuwa yamejaa
  ikabidi apande Islam.
  Pole Mungu awatangulie mfike salama
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kama nilivyoelezea hapo juu,mabasi yote Abood,Hood BM yalikuwa yamejaa eti tangu juzi!!hii imetookana na wanafunzi wengi wa vyuoni kusafiri leo!Pale Wami,gari lilisimama kwani kuna ujenzi wa barabara unaendelea,mara gari likaanza kurudi nyuma,wasafiri tukapunic kiaina!konda akawahi kuweka jiwe kuzuia! !Ndio tumepita Chalinze wandugu!!Nimejifunza somo,next time ntakuwa nakata ticket hata wiki moja kabla ya safari!Kwa nguvu za Mungu tutafika japo pole pole!
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa kutoka arusha saa 1 kupita chalinze saa 12 sio mbaya sana!au ulitaka kibati?ungepanda Chakito,au Ngorika!roho mkononi!midude inakimbia balaa tupu!ukifika unashukuru mungu.
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Hivi Islam bado yupo?
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pole pole ndo mwendo ndugu yangu, haraka haraka haina baraka. Kila mara tunaambiwa kuwa kuna abiria ambao huwahimiza madereva kwenda kasi, lakini ikitokea ajali anayelaumiwa ni dereva. Ihurumie roho yako ndugu yangu na mshukuru huyo dereva wka kuwaendesha mwendo huo wa kistaarabu, wako madereva wachache sana wenye moyo kama huo
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mabasi ya Islam kiukweli siyo mazuri kwa huduma hata ubora. Ombeni Mungu mfike salama. Lakini napenda nikutoe shaka basi hilo halitembelei gia moja tu yaani kama mbili basi mbili, msingefika huko mlipofika lingeshachemsha mbaya kabisa. Litakuwa na shida tu nyingine.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Nakushauri next time fanya hivi:

  panda magari ya Dar, ushuke Chalinze, hapo upande magari yanatoka dar.

  Pole, nawaombea mfike salama.
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  nakumbuka mwaka juzi nilipanda Islam ya Dar-Moro, wizi mtupu.

  Islam jirekebisheni.
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hatimaye tumefika salama!
   
 14. G

  Gavanor Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umetuletea zawad gani?
   
 15. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chombo imetambaa kipande hiyo,saa 11 kamil mlikuwa wami sasa 19:39 mshaingia mji kasoro bahari!!!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmmmh!! Hii roho mkononi..
   
 17. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfumo kristu haujaanzisha mabasi yake ?

  Mara nyingine panda basi la christian
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  haya mkuu now we crossing our fingers,thank GOD.
   
Loading...