Basi la Batco lawaka moto maeneo ya Mto Kirumi

Batco ni msukuma

Ngosha, kachemsha sana maana huwezi ukawatoa kafara wakurya, Damu yao haishikwi na. Mchawi maana wametahiriwa alfajiri saa 4 hadi 12 asubuhi !!
Ngosha, Akiendelea kuwatafuta wakurya wa kafara, atamaliza mabasi hadi nyumba zake zote.

Yaani wao vita ni vita ( fita ni fita Mura, tubhia bhomu).

Mshana Jr njooooo huku wameliamsha dudeee!!

Siyo tu Wakurya Mkuu kiujumla Watu au Makabila yote ya Mkoa wa Mara hayarogeki na Mtu yoyote akijaribu Kumroga Mtu wa kutoka Mkoa wa Mashujaa na waleta Uhuru wa nchi hii wa Mara kuna mawili ama afe kabisa au atakuwa chizi hadi umauti wake. Ukitaka kuujua huu ukweli kuwa Watu wa kutoka Mkoa bora na uliobarikiwa kabisa kuliko mingine yote wa Mara hawarogeki na siyo wa kuchezewa waulize Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi kwani kila wakitujaribu tu wanabaki kupukutika Wao.

Yaani kabisa utoke huko ulikotoka umroge Mkurya au Mzanaki au Mjita au Muikizu au Mjaluo au Mruri Wewe si utakuwa unajitafutia tu balaa? Sisi tunawezana na kurogana wenyewe kwa wenyewe lakini hakuna Mtanzania wa Kabila lolote lile anaweza kuwa na ubavu wa kumroga mwana Mara ( Musoma ). Dawa zote za nchi hii zimeanzia na bado zipo Mkoani Mara.
 
Aiseeeeeh,

Yaani kweli nimeliamsha dudeee.

Mshana Jr na Mzizi Mkavu , njoooooni huku wameliamsha dudeee!
 
Tena hakuna Watu wepesi Kurogeka na kama ukitaka uwalie Pesa zao wapige Mkwara wa Kuwaroga kama Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi Mkuu.
 
Asante mkuu.

Basi, itabidi wale jamaa waanzishe project huko ulikotaja kote . kwa hiyo watatangaza nafasi za kazi za kuwa agents

Mzizi mkavu na Msahana Jr , naamini wako tayari kuwa na ofisi huko.
 
Siyo tu Wakurya Mkuu kiujumla Watu au Makabila yote ya Mkoa wa Mara hayarogeki na Mtu yoyote akijaribu Kumroga Mtu wa kutoka Mkoa wa Mashujaa na waleta Uhuru wa nchi hii wa Mara kuna mawili ama afe kabisa au atakuwa chizi hadi umauti wake. Ukitaka kuujua huu ukweli kuwa Watu wa kutoka Mkoa bora na uliobarikiwa kabisa kuliko mingine yote wa Mara hawarogeki na siyo wa kuchezewa waulize Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi kwani kila wakitujaribu tu wanabaki kupukutika Wao.

Yaani kabisa utoke huko ulikotoka umroge Mkurya au Mzanaki au Mjita au Muikizu au Mjaluo au Mruri Wewe si utakuwa unajitafutia tu balaa? Sisi tunawezana na kurogana wenyewe kwa wenyewe lakini hakuna Mtanzania wa Kabila lolote lile anaweza kuwa na ubavu wa kumroga mwana Mara ( Musoma ). Dawa zote za nchi hii zimeanzia na bado zipo Mkoani Mara.
Mkwala mbuzi
 
Back
Top Bottom