Basi la Batco lawaka moto maeneo ya Mto Kirumi

Butiama sio butama
BAD NEWS!

Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.

Chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika.

Taarifa za awali kutoka kwa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo pamoja na abiria wameeleza kuwa baadhi ya mali za abiria zimeteketea kwa moto na hakuna mtu aliyepoteza maisha.

View attachment 521993 View attachment 521994
 
Ajali nyingi hutokea kwa madereva kutoelewa kinachoendelea kwenye magari wanayoendesha.
Dereva mzuri ni yule anaesikiliza mlio wa gari na sio mziki wa sauti kubwa.

Miziki ya kelele sana zinamfanya dereva asielewe kinachoendelea hata kama exhaust imeanguka
 
Kuna Mdau mmoja wa Masuala ya Udereva na Usafirishaji wa Mizigo na Abiria aliwahi kuniambia kuwa siku zote ukiona ajali ya Gari au Basi ni ya Moto halafu hakuna hata Mtu mmoja ama aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha basi jua tu ya kwamba Kafara limekataa na kwamba kuna uwezekano mkubwa huyo Mlengwa ( mmiliki wa Gari / Basi hilo ) akapoteza maisha au kukatokea matatizo makubwa sana katika Familia yake ila akiwahi kufanya tambiko atajiokoa na dhahama.
Kwa akili hizi tutasubiri sana kupata viwanda!
 
Ajali nyingi hutokea kwa madereva kutoelewa kinachoendelea kwenye magari wanayoendesha.
Dereva mzuri ni yule anaesikiliza mlio wa gari na sio mziki wa sauti kubwa.

Miziki ya kelele sana zinamfanya dereva asielewe kinachoendelea hata kama exhaust imeanguka
Kwa ajali kama hii huwezi kwanza mabasi yenyewe full ac, na iwapo inatokea shoti kwenye mfumo wa umeme ni hatari sana. Ila tumshukuru Mungu wote wametoka salama kuliko na milango ingekuwa imegoma au lingekuwa limelipuka ghafla.

Hivk hakuna zimamoto karibu au boser?
 
Mungu mkubwa, wamenusurika
Zimamoto?
kuna wilaya nyingi tu hazina itakuwa za karibu
Yaani tunaishi kwa miujiza tu
 
BAD NEWS!

Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.

Chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika.

Taarifa za awali kutoka kwa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo pamoja na abiria wameeleza kuwa baadhi ya mali za abiria zimeteketea kwa moto na hakuna mtu aliyepoteza maisha.

View attachment 521993 View attachment 521994
Andika sirari- Tarime-Mwanza
 
Wakurya na nyie mara hii mmeshaanza kuwa na tabia za kutoa Mikafara?

Batco ni msukuma

Ngosha, kachemsha sana maana huwezi ukawatoa kafara wakurya, Damu yao haishikwi na. Mchawi maana wametahiriwa alfajiri saa 4 hadi 12 asubuhi !!
Ngosha, Akiendelea kuwatafuta wakurya wa kafara, atamaliza mabasi hadi nyumba zake zote.

Yaani wao vita ni vita ( fita ni fita Mura, tubhia bhomu).

Mshana Jr njooooo huku wameliamsha dudeee!!
 
Hebu funguka toa somo hapo wengi hawana ufahamu

Yaani, break za Gari zinachokonolewa kila dakika ama kila siku na mbaya zaidi anayefanya hivyo siyo Fundi Bali ni utingo au mpiga debe wa stendi
 
Kuna Mdau mmoja wa Masuala ya Udereva na Usafirishaji wa Mizigo na Abiria aliwahi kuniambia kuwa siku zote ukiona ajali ya Gari au Basi ni ya Moto halafu hakuna hata Mtu mmoja ama aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha basi jua tu ya kwamba Kafara limekataa na kwamba kuna uwezekano mkubwa huyo Mlengwa ( mmiliki wa Gari / Basi hilo ) akapoteza maisha au kukatokea matatizo makubwa sana katika Familia yake ila akiwahi kufanya tambiko atajiokoa na dhahama.

Maisha na utajiri , wa kutoa watu au vitu kafara haujawahi kumuacha mtoa kafara akiwa salama.

Hata ukifanikiwa 24/7, siku zikikataa utajuta kumfahamu mganga wako.
 
Yaani, break za Gari zinachokonolewa kila dakika ama kila siku na mbaya zaidi anayefanya hivyo siyo Fundi Bali ni utingo au mpiga debe wa stendi

Hao ni wachokozi, mbona hawachokonoi reli za vioo kuondoa uchafu ili vitembee kirahisi
 
Back
Top Bottom