Basi la AN Classic latelekeza abiria eneo la Machimbo Sikonge, abiria wanahitaji msaada

Private investigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
303
287
Basi la AN Classic toka Tabora -Mbeya limetelekeza abiria toka juzi eneo la Machimbo. Abiria wameishiwa fedha na hakuna msaada mpaka muda huu.

Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika.
 
Msaada gan mnausubiri kwa siku nnee? badala ya kukomaa siku ileile ya kwanza ndani ya masaa matatu mrudishiwe nauli ?
Au nmeshazoea kuitwa wanyonge had mnashindwa kujipambambania? Huo ni ufala
 
Back
Top Bottom