Basi la ALLYS laungua moto

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Habari kutoka Muleba mkoani Kagera zinasema kuwa basi la abiria la kampuni ya ALLYS lililokuwa likisafiri kutoka Bukoba kwenda Dar-es -salaam limeungua moto na kuteketea kabisa.
Inasemekana tatizo lilianzia na shida ya jamming ya brakes na basi lilipofika kwenye kituo Cha Muleba tayari ulishaanza kuwa moto na walichofanya ni ku rescue mizigo ya abiria na abiria wenyewe.
Ni tingo wa basi hilo tu aliyejeruhiwa lakini abiria wamenusurika na mizigo yao.
 
Kama watu wamepona hilo ni jambo jema.Basi linaweza kununuliwa tena, lakini huwezi nunua uhai.
 
Back
Top Bottom