Basi la Africa Raha Express (T 382 DCS) latelekeza abiria sheli

Inategemeana ni masaa mangapi yamepita tangu gari kuharibika sheria za sumatra ni kwamba iwapo gari imeharibika inatakiwa abiria wasubili mpaka litengenezwe ndani ya masaa mawili na iwapo masaa hayo yatapita ndio abiria inatakiwa atafutiwe usafiri mbadala sasa wewe unaposema utareta ubabe nakushangaa iwapo itakua chini ya masaa mawili

Upo sahihi kabisa bwanabmkubwa.
Linapo tokea tatizo kwenye usafiri, kwanza abiria wanatakiwa wapewe taarifa sahihi na waelewe nini kinacho endelea. Baada ya hapo nikweli abiria watatakiwa kusubiri masaa yasio zidi mawili ili gari liwe nimetengenezwa, na iwapo itakuwa tofauti na hapo basi wasafirishaji watatakiwa kuwatafutia abiria wale usafiri mwingine ama ikishindikana wenye usafiri watatakiwa kuwalipia abiria full accommodation kwa siku hiyo hadi gari litakapo tengemaa.
Sasa.....
Inapo tokea gari kuharibika na kisha wenye magari yale wakakimbia, hapo nini maana yake..??
 
Ofisi ya mtendaji kwanza haina mamlaka ya kufungua kesi na kitu ulicho fanya kufungua side mirror za gari ya watu huo ulikua ni wizi ungekutana na watu waelevu ungejutia kitendo ulicho fanya maana tayari ulisha jichukulia sheria mkononi.

Utakuja kulipishwa vioo vya gari yote siku moja, we utasema unadai 10k wao watasema ulifungua vitu vyenye thamani ya 1M na ushahidi ni hiyo side mirror uliyoenda nayo kwa huyo mtendaji asiejielewa
Hizi ni dalili za unyonge na kukubali kuonewa kizembe sana.
Binafsi sijawahi kukubali kuonewa kisengerema aiseeeee.....
Yaani bus liharibike alafu kondakta na dereva wapite vile, alafu nami nikae kizembe tu...🤨
Ohhhh Nooo..... kama ni kufuata sheria kwa stailihiyo man, basi utachelewa sana kufika aiseeee....
 
Mkishindwa kutoa matairi iteni breakdown ilivute mkakate screpa Ili maboss waheshimu mkataba na abiria
 
Poleni abilia,libadilisheni matter from solid to ashes au hakuna kibiliti .

Ha ha ha its a joke
🧑‍💻🧑‍💻🧑‍💻🧑‍💻🧑‍💻....wana kemia njoeni huku, direct change from solid state to powder state mwaitaje vile???
 
Nilishawahi kupitia vigezo na masharti kwenye risiti ya bus moja
Ilinishangaza kuona kuwa kumbe gari likiharibika nauli hairudishwi na napaswa kusubiri hadi litengenezwe au pale litakapokuja lingine
Abiria tunachukua tiketi tu kwa mazoea matukio kama haya ni kuwa
Tiketi hii hapa, content ulizo sema hapa hakuna.
20220428_143327.jpg

20220428_143345.jpg
 
Mbona sisi wakazi wa Mbagala tunashushwa Mbezi mwisho lakini mambo poa tuu!! Jiongezeni banaaa!!

Kweli arifu utafananisha ninyi ndume za daslam na kanda Mara? Hapana, kama daslam ni kanda maalum( tuiite "c" grade), ila wazee wa kugesha, musoma, ni kanda maaalum (a plus).
 
Polisi amewashauri vizuri tu kuliko kusumbuana na wenye basi ni heri wajiongeze maana hapo kwenye icho kituo cha mafuta ni town tu mtu unaendelea tu na safari lakini kama ukiwa huna kazi za kufanya utaendelea kukaa hapo kubishana na konda wakati ata yeye mwenyewe anawaza gari inayofanya anapata kipato imeharibika me nacho washauri ao abiria wapande dala dala wafike buzuruga kuepusha kupoteza muda

Ni kweli, lakini tusipo waonya watarudia. We have to deal with them ili wajue ni kosa.
 
Kisesa na buzuruga nauli jero mnaenda mpaka Polisi? Umasikini mbaya sana tutafute hela.
Najua mtakuja na mapovu oooh mara ni haki yao, lkn reality ni kwamba wangekuwa vizuri kiuchumi wasingejisumbua hivo
 
siwahi kuona mtu waajabu kama wewe abiria ulie panda hilo basi! yaani umesema kabisa yakuwa gari limeharibika halafu unataka likufikishe stand kivipi haujiongezi tu yaani hiyo alfu10000 yako inatosha matengenezo ya hiyo gari subiri gari itengenezwe ndio safari iendelee unajua bei ya hiyo gari

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app

Nadhani shida imeanzia hapa.... " Sent from my """TECNO CF7""" using JamiiForums mobile app"
 
Kisesa na buzuruga nauli jero mnaenda mpaka Polisi? Umasikini mbaya sana tutafute hela.
Najua mtakuja na mapovu oooh mara ni haki yao, lkn reality ni kwamba wangekuwa vizuri kiuchumi wasingejisumbua hivo

Shida si umaskini, shida kitendo hiki ni sahihi? Hebu tu attack kitendo kilichofanywa na wenye basi wala si hao maskini waliopanda basi.
 
Huo ni wizi sasa watapata pesa zaidi ya nauli yao tairi tu za nyuma tu kwa bei ya hasara wanapata milioni,inawatosha kufika stand.
Hujilipi nauli tu, unajilipa na mda unaopotea, inconvinience walosababisha, na labour cost ya kulitawanya. Next time hawatoacha abiria na kuondoka :D
 
  • Thanks
Reactions: ALT
Ofisi ya mtendaji kwanza haina mamlaka ya kufungua kesi na kitu ulicho fanya kufungua side mirror za gari ya watu huo ulikua ni wizi ungekutana na watu waelevu ungejutia kitendo ulicho fanya maana tayari ulisha jichukulia sheria mkononi.

Utakuja kulipishwa vioo vya gari yote siku moja, we utasema unadai 10k wao watasema ulifungua vitu vyenye thamani ya 1M na ushahidi ni hiyo side mirror uliyoenda nayo kwa huyo mtendaji asiejielewa
Watu waelevu hawatelekezi na kuwakimbia abiria
Hio ni dalili kwamba walikuwa hawajielewi na ukikutana na mtu hajielewi angefungua hata tv
Nb mimi ningebaki nayo hata kwa mjumbe sipeleki ndo inakuwa nimeondoka nayo hivyo mazima
 
Back
Top Bottom