Basi la abiria dar-arusha laungua moto chalinze

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
ni kama dakika ishirini zimepita..........

basi aina ya FRESH COACH lilianza kwa kupata pancha tairi la nyuma,then kukawa na msuguano uliopelekea kuanza kuungua moto

hiivi tunavyoongea BASI LINA WAKA MOOTO AJABU!

ABIRIA WAMEPONA WOTE

lakini mizigo na mambo mengine kwisha kazi

MUNGU IBARIKI TANZANIA!...........

nitarudi
 
dah anaza dizasta! acha tumsubiri ripota wetu maeneo ya arusha . PAKAJIMMY!
 
halafu kama sijakosea hili basi ni la kichina, aka ENGINE NYUMA, so ule msuguano na uzito na joto la injini ikaleta habari tofauti!.
thank God our fellow tanzanians are safe.
 
bora wamepona,mizigo si kitu zaidi ya roho za watu
 
Freshi coach ,
basi jeupe na ufito wa brown uliopinda,
hili gari ni bovu sana yaani hii kampuni inahatarisha maisha ya watu kwa kuwasafirisha kwenye mabasi yasiyo na kiwango .
Nilisafiri na basi hilo kipindi cha x mas, kutoka moshi hadi tulitumia zaidi ya masaa kumi na tano njiani.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom