Basi kama mnashindwa kuvumilia oweni kabisa

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,336
21,434
Kuna visa vinatokea katika huu mwezi mtukufu wa ramadhani huu ni mwezi wa toba kwa islamu wote lakini utakuta mtu yupo ndani swaumu bado ameshika simu anachati na nyumba ndogo au kimada,huu ni mwezi wa kuchuma thawabu,mtu ndani ya kufuturu anampigia simu mwanamke nikimaliza tu nakupitia twende tukapate aiskrimu,ndugu zangu mwaka mzima umefanya vurugu mwezi mmoja tu inakuwa tabu,kama ni ngumu kuvumilia basi oweni kabisa iwe halali katika mwezi huu msiendeleze yasiofaa.
 
Oweni= oeni. Si ungeandika kiarabu tuu manake wakati wenzako wakijifunza kiswahili fasaha wewe ulikua unajifunza alifu bee tee na kuandika kwa kurudi nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom