Basi gani zuri kutoka Dar hadi Kampala?

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Wakuu habari za asubuhi,

Ninasafari ya kwenda Kampala nataka kupita njia ya Nairobi ni bus gani Zuri na bei yake ni shilingi ngapi? Hadi kufika Kampala tutatumia masaa mangapi?
 
Panda bus kutokea Dar mpka namanga border hpo unadaka probox mpka Nairobi uende Gaborone Road kuna mabasi mengi sana ya kwenda kampala, Kisii Express, kuna Akamba, zinaondoka usiku asbhi upo kampala kupitia kisumu,angalizo Utapeli Nairobi, border ya Kenya na Uganda kupigwa kwenye chenchi uwe makini na hela za Uganda safari njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom