Basi gani la Dar-Mwanza naweza kuchaji simu nikiwa safarini?

Hivi ni kwa nini Mimi nikichaji simu kwenye mabasi simu huwa inatumia hata saa zima kuingiza asilimia 2 au 3 tu wakati chaja yangu ni fast? Kuhusu mabasi, Dar lux na Kisesa ni uhakika, mengine nimeshasahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar lux ni kweli in a charging system tatizo ni kupata tiketi, booking angalau wiki moja kabla. Mwendo wao ni mzuri na wahudumu wana ukarimu
 
Wakuu heshima kwenu.
Kwa mabasi ya Dar-Mwanza ni basi lipi lina huduma ya kuchaji simu ndani ya basi?

Wakuu sorry nilidhamiria kuandika Mbeya-Mwanza na si Dar-Mwanza.

Ni Basi la Bombardier Dreamliner Coach Mkuu.
 
Kama ni Mwanza-Mbeya nadhani supersami watakua na USB.. Shida ni kwamba hiyo njia haina bus la luxury.. Though hata Isamilo watakua na USB I think.
 
Wakuu heshima kwenu.
Kwa mabasi ya Dar-Mwanza ni basi lipi lina huduma ya kuchaji simu ndani ya basi?

Wakuu sorry nilidhamiria kuandika Mbeya-Mwanza na si Dar-Mwanza.
Kwanini mnatumia vimeo!yaani safari ya siku moja unachaji kutwa Mara tatu kama dozi

Sent by Diaspora
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom