Bashosha ng'ombe, tulishosha maendeleo slogan 2015.....

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
WanaJF, mmekuwa mkisikia Mzee Wa Visenti analamba jimbo la Bariadi wakigawana na Cheyo...Sasa nadhamiria kuthubutu maana nia na uwezo ninano wa kuweza kumwangusha Mwaka 2015 au hata kabla ya hapo lililopo ni kuniombea tu kwa MUNGU ili malengo yangu yatimie...Najua hapa JF ntapata wana BARIADI wenzangu kuweza kuijenga Bariadi MPYA na yenye Sura mpya kwani bila CHENGE inawezekana na kwa Y I mean YES(Chadema) we kani...NGOSHA BASHOSHA NG"OMBE IHAHA TULISHOSHA MAENDELEO(ngosha hurudisha ngombe walioibiwa sasa tutarudisha maendeleo yaloporwa na MAFISADI ) ndo mbiu kauli yangu 2015....JF MPOOOOOOOOO
 
Namomba Wanabariadi kama mpo na wanachadema wote tuweze kumngoa huyu FISADI mkuu CHENGE...KWA CHADEMA KILA KITU KINAWEZEKANA....
 
Namomba Wanabariadi kama mpo na wanachadema wote tuweze kumngoa huyu FISADI mkuu CHENGE...KWA CHADEMA KILA KITU KINAWEZEKANA....
Basi usingoje mpaka 2015. Anza kununua vifaa vya ujenzi, kujenga msingi, kuamsha kuta, n.k. 2015 iwe ni sherehe ya kuingia kwenye nyumba rasmi. Msaada tutakupa tu.
 
Nakutakia afya njema unapojiandaa kumng'oa mzee wa vijisenti. BARIDI bila Chenge inawezekana
 
am on ma way kuanza kampeni mapema...
Ngosha Magulumangu, watu wa Bariadi ninavyowafahamu wanapenda maendeleo, wamekosa tu mtu mwenye nia ya dhati wa kuwaongoza. Ukianza mapema watakuelewa wataachana na dhana ya kwamba walichagua upinzani UDP kabla ya Chenge lakini hawakuona mabadiliko yoyote, kwa hiyo wengi wao wakaona bora kumurudisha Mzee wa Vijisenti safari hii. Wamekosa mtu wa kuwaelewesha. Naunga mkono hoja anza mapema kuwapiga shule, tengeneza network yako vijijini kitaeleweka tu..!
 
Unatakiwa ujiandae vizuri, kwa jinsi ninavyoelewa kuhusu Vicent ni mafia wa kutupwa, na hapo bariadi ana network kubwa sana ukianzia na Familia yake, lakini hata hivyo nao karibu watamchoka. Bariadi panatakiwa kupatikana Mbunge mshashi labda ndio mambo yataenda, wanyantuzu ni kondoo wa bwana ( CCM )
 
Unatakiwa ujiandae vizuri, kwa jinsi ninavyoelewa kuhusu Vicent ni mafia wa kutupwa, na hapo bariadi ana network kubwa sana ukianzia na Familia yake, lakini hata hivyo nao karibu watamchoka. Bariadi panatakiwa kupatikana Mbunge mshashi labda ndio mambo yataenda, wanyantuzu ni kondoo wa bwana ( CCM )


Mkuu niko zaidi ya mshashi na mchaga, lazima mzee wa vijisenti ang'oke mwaka 2015, najuaa familia yake kwa karibu sana kuna pia ambao hawaipendi family yake so nitatumia hiyo cracks kupenyeza ni nguvu ya TSUNAMi kaka hainal mpinzani hadi majini inapenya....TONADO itaingia bariadi....CDM for rea
 
Anza sasa Magulumangu kwani hakuna kisichowezekana. Mbona Pesambili kaangukia pua kule Rombo!!!! Maswa East na West wameshafungua njia, kinachofuata ni Bariadi, kahama na Shinyanga mjini.
 
Mkubwa magulumangu,

Inawezekana kabisa kushinda, lakini inatiaji ueleo wa kusoma nyakati, kwanza kabisa fika jimboni kwako, fahamu kata zako zote, jua tatizo sugu ambalo linawasumbua wana bariadi, kisha tafuta njia mbadala but keep it SIMPLE. Huitaji kuandika bariadi of yesterday, today and tomorrow. Lakini unatakiwa ufahamu eneo hili vizuri, ijue historia ya hapo.

Kutana na wananchi wakawaida wa hapo kwenye mechi zao mipira na sikukuu zao za kila siku, wasikilize shida zao. Jiweke katika mazingira ya kuwa mmoja wao, ambae unaimani kabisa tiba ya matitizo yapo wanayo wao na wewe utakuwepo hapo kushauriana nao na sio kuwapa amri ya nini kifanyike. Usijifanye unamajibu ya matatizo yao yote, lakini una uwezo mkubwa wa usikivu na kuchambua.

Unaweza mzee. Mimi pia nataka kutangaza nia soon. Jimbo langu lina CCM mkongwe sema anafahamu moto unaomjia so wenzie wameshamwambia abebe brifcase lake na aanza safari ya kujiuzuru.

2015.... I hope tutapewa nafasi ya kuwa wabunge binafsi maana hivi vyama vyote vipo kuridhisha fungu la watu fulani.
 
Back
Top Bottom