Tetesi: Bashite kuandaa shughuli nyingine Leaders siku ambayo tamasha la Fiesta limepangwa kufanyika

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.
Akitolea ufafanuzi wa kampeni ya usiwe kama kaa mkurugenzi wa clouds bw. Ruge alisema kuwa ukimuweka kaa moja moja kwenye ndoo atatoka ila ukiwajaza kaa wengi kwenye ndoo hawatatoka kwani kila moja atagombania kutoka kwa kumvuta mwingine asitoke
 
Acha uchonganishi hii kampeni imeanza siku kadhaa nyuma hata kabla ya efm kutangaza tamasha lao.
Wabongo bwana
 
UNAMWANGALIA NANI! NGOMA INOGILE! KUNA RAHA YAKE MTU USIPOKUWA NA TIMU!!!! YEYOTE ATAKAYESHINDA UNAPETA TU.KUNA WATU WATAPATA SHIDA BONGO HIITIME WILL TELL.......

simba na kivuli.jpg
 
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.
Akitolea ufafanuzi wa kampeni ya usiwe kama kaa mkurugenzi wa clouds bw. Ruge alisema kuwa ukimuweka kaa moja moja kwenye ndoo atatoka ila ukiwajaza kaa wengi kwenye ndoo hawatatoka kwani kila moja atagombania kutoka kwa kumvuta mwingine asitoke

Kuna Methali moja ya Kiswahili isemayo ' Inzi wengi hawamalizi Mavi ' itafute ili uweze kuelewa ina maana gani itakusaidia mno.
 
Back
Top Bottom