Bashiru unajaribu kumshika simba sharubu zake? Umetumwa?

Viongozi wa kiafrika wana matatizo ya kupenda madaraka nakumbuka Kagame aliahidi kuachia madaraka term yake ya mwisho ikiisha baadae akabadili Nia mpaka leo tunae.

Alpha Conde wa Guinea, allasane outara wa ivory Coast term zao za mwisho mwaka huu Ila wameamua kugombea tena. Inakua kama nchi zetu za Africa hazina watu wengine wenye uwezo wa kuongoza kiasi kwamba strong men wana badili katiba kwa maslahi yao.

Hata Mzee Magu na hizi sinema zake za kusema hii ni term yake ya mwisho sitashangaa 2025 CCM kumuomba aongeze term nyingine na yeye kukubali. Japo wazo hilo litakua limetoka kwake,waafrica ndivyo tulivyo.
 
Back
Top Bottom