Uchaguzi 2020 Bashiru na Polepole Heshima yenu ni Kujiuzulu

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.

Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
 
Inawezekana wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, baada ya tarehe 28/10 sio mbali tutakutana hapa
 
Subiri matokeo.
CCM inaenda kushinda kwa kishindo kikuuu.
Ni aibu kwa viongozi wa kisiasa ndani ya CCM (Bashiru+Polepole)
Sasa hivi upinzani stage ilipofikia haupambani na CCM kama chama Cha siasa bali unapambana na dola.Kwenye sanduku la kura CCM Ni vigumu kushinda.Katika ulingo wa siasa CCM inajua imeshapotea.Sasa upinzani utegemee kukutana na figisu kutoka idara zote za serikali.
Kama viongozi Hawa hawana ushawishi badala yake wanategemea dola,ni bora wajiuzulu nafasi zao.Wamepotea kabisa katika ulingo wa siasa especially kipindi hiki,hata kuzuga tu hawapo!
 
Hakika mkuu CCM walikabidhi chama chao kwa Dola, kimekuwa ni chama dola.
Si chama cha wananchi tena. Wananchi wachache wameporwa chama chao.

Lissu hashindani na CCM bali anashindana na SYSTEM DOLA.
TISS.
POLISI.
JESHI.
WAKURUGENZI.
WAKUU WA MKOA.
WAKUU WA WILAYA NK NK
 
Ni aibu kwa viongozi wa kisiasa ndani ya CCM (Bashiru+Polepole)
Sasa hivi upinzani stage ilipofikia haupambani na CCM kama chama Cha siasa bali unapambana na dola.Kwenye sanduku la kura CCM Ni vigumu kushinda.Katika ulingo wa siasa CCM inajua imeshapotea.Sasa upinzani utegemee kukutana na figisu kutoka idara zote za serikali.
Kama viongozi Hawa hawana ushawishi badala yake wanategemea dola,ni bora wajiuzulu nafasi zao.Wamepotea kabisa katika ulingo wa siasa especially kipindi hiki,hata kuzuga tu hawapo!

Hakika mkuu CCM walikabidhi chama chao kwa Dola, kimekuwa ni chama dola.
Si chama cha wananchi tena. Wananchi wachache wameporwa chama chao.

Lissu hashindani na CCM bali anashindana na SYSTEM DOLA.
TISS.
POLISI.
JESHI.
WAKURUGENZI.
WAKUU WA MKOA.
WAKUU WA WILAYA NK NK
 
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.

Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Upuuzi mtupu. Magufuli atashinda, na Gwajima atashinda vilevile.
 
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.

Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Wewe ndugu yangu unamtindio wa Ubongo.
Maneno unayoongea hayapaswi kusemwa leo chini ya heading iliyoweka.
Ungeonekana una TIMAMU Kama ungeyaandika haya Novemba mosi 2020 wakati matokeo unayo, ambapo Lissu kapata hiyo 90%, JPM kaambulia sijui asilimia nane baada kugawana kumi zile na kina Ringer.. CCM wamepoteza majority ndani Bunge na huyo Gwajima kabwagwa vibaya na Bibi Kidude, msagaji, na tayari sauti ya Zege katangaza kumuoa Bulaya, wakati kule Zenji Maalim akitangaza ndoa na Kimada wa Armsterdam maana sheria itakuwa inabadilishwa kuruhusu ndoa za jinsia moja..
Kabla ya muda huo kusema haya unayosema ni kuonyesha labda uko ndotoni...
 
Upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Hakika mkuu CCM walikabidhi chama chao kwa Dola, kimekuwa ni chama dola.
Si chama cha wananchi tena. Wananchi wachache wameporwa chama chao.

Lissu hashindani na CCM bali anashindana na SYSTEM DOLA.
TISS.
POLISI.
JESHI.
WAKURUGENZI.
WAKUU WA MKOA.
WAKUU WA WILAYA NK NK
Uko sahihi kabisa,hii imetokana na failure ya Bashiru na Polepole
 
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.

Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
Naunga mkono hoja hii lakini jee hatuwezi kuwa tunawaonea bure tu pengine tatizo likawa lingine kabisa
 
Hakika mkuu CCM walikabidhi chama chao kwa Dola, kimekuwa ni chama dola.
Si chama cha wananchi tena. Wananchi wachache wameporwa chama chao.

Lissu hashindani na CCM bali anashindana na SYSTEM DOLA.
TISS.
POLISI.
JESHI.
WAKURUGENZI.
WAKUU WA MKOA.
WAKUU WA WILAYA NK NK
Hakika Lissu na wadau upinzani vs dolla, msajili,polccm,Nec,tiiss,Rc,dc,Ded nipongeze JW walau wapo kimya japo wamebariki walebwateule RC,makamishina nafasi za kisiasi kuendelea kutumia vazi maalumu lisilo na itikadi!?
 
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni mwa watu.

Mfano Jimboni Kawe watu wanazunguka na Gwajima, wanakula hela zake huku wanampigia Lissu Kampeni. Watu wanabenwa kwenye malori, wanapewa 5k, Tshirt na chakula lakini mwiabonwa siku, baada ya kuwasikia wasanii wanaondoka uwanjani. Ni mengi. Busara ni kujiuzulu
uko sahihi 100%.... wameendesha kampeni ovyo kabisa... wanajifanya wajuaji kumbe wanamuingiza Namba moja chaka... Hawa watu hatuwezi kwenda nao mpaka 2022.. No way out
 
huyo mmoja arudi kwenye uwanaharakati huyo mwengine arudi cuf
 
Back
Top Bottom